Habari wana JF,
Nina eneo nauza lipo Mbande Dodoma barabarani kabisa. Ukubwa ni heka 2.5 na linafaa kwa sheri au makazi na lina maji pamoja na umeme
Kwa anayehitaji tuwasiliane 0785670041
Shamba lipo Zinga kwa Mtoro kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo(Bagamoyo road).
Shamba lina ukubwa wa heka sita na nusu(6.5).
Linafaa kwa matumizi ya kilimo, kujenga...
• Direction:
Majumba Sita Gogo Zembe, 1.7 km off Nyerere Rd (Airport)
• Facilities:
currently up to 7 ton trucks road. For later expansion the road will be accessible with all trucks
• Plot...
Wadau nina eneo upande wa shule ya msingi misugusugu iliyopo mkoani Pwani ninauza ni karibu na eneo la viwanda vya wachina. Pia unapita eneo la Usangu logistics.
Jirani ni msikiti, na kiwanda...
Plot For sale at Mikocheni Regent.
Location: Mwai Kibaki Road near US embassy.
Plot Size: Sqm 2460.
Price: $1.5M. Negotiable.
Document: Clean Title Deed.
For more details or to arrange a viewing...
Nauza Plots Kibaha(Visiga-Madafu) ziko Mbilil,zimeungana kilometa 3 kutoka lami Morogoro road(Kituo cha Madafu). zimepakana na kiwanda cha Kuzalisha Mayai. Umeme na Maji vyote vimefika. Panafikika...
Eneo linauzwa,liko Mivumoni,
Lipo takribani mita 500 kutoka barabara ya vumbi (Mivumoni-Goba njia nne),karibu na shule ya sekondari Mivumoni!
Eneo lina ukubwa wa SQM 1391. Ndani ya eneo ilo...
Kiwanja kipo kigamboni mwasonga tulivu kina ukubwa wa sqm 480 kipo mpaka mmoja na shule majira wawili watatu wapo kiwanja ni changu mwenyewe hakina dalali nina shida na ndio maana nauza
Bei...
NIC Life House, 2nd Floor, Wing C, Website:www.archco.co.tz
P.O. Box 38694, Dar es Salaam, Tanzania Email.info@archo.co.tz
Tel:+255 22 211 844
Date: 27th February,2024
YAH: MASHAMBA YA KILIMO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.