Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ni PM kwa mahitaj,.. Bila picha itakua haina maana.
1 Reactions
37 Replies
7K Views
CHEREHANI YA KUTUMIA MKONO yenye ukubwa wa Stepler pin machine ambayo unaitumia kushona palipochanika/kufumuka kwa urahisi. Inashona kama cherehani ya kawaida. Haitumii betri Rahis kubeba...
1 Reactions
1 Replies
12K Views
Kiwanja chanika bwaja dakika 5 kutoka barabara kuu. Ukubwa heka 1 na nusu Hakina udalali Bei mil.20 tu. Kiwanja kipo eneo tambarare na zuri unaweza ukakitumia pia kama shamba. Piga 0629992942
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari wakuu , Tunauza mikoba ya ngozi, bei ya rejareja ni Tsh. 35,000/= na jumla itategema na idadi unayochukua. Ukihitaji karibu dukani kwetu Tegeta Dar es salaam au wasiliana nasi...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Habari wana jamvi Kama kichwa cha mada kinavyojieleza nahitaji display ya samsung s8 kutokana na simu yangu kupata hitilafu kidogo, Kwa yoyote aliyonayo hata kama ni used tuwasiliane 0758728258
0 Reactions
2 Replies
660 Views
Habari wana JF Ninauza asali mbichi, Jumla na rejareja Asali haijachakachuliwa yaani haijaongezwa chochote Nauza kuanzia ujazo wa robo Lita hadi Lita 20 Robo Lita Tsh 3000 Nusu Lita Tsh 6000...
1 Reactions
0 Replies
771 Views
Samsung j7 galaxy 2016 Imetumika miezi kumi hadi kufika leo. Bei 250k. Sehemu ni dar pugu.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kama kchwa knavyojieleza hapo juu Simu ina mwezi tu tangu inunuliwe Inauzwa kwasababu maalum bei ni ya kitonga Laki mbili tu (200000)
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Luxury Quartz Male Wrist Casual Leather Band Watch Brand: Miler Condition: New Band Material Type: Leather Case Material: Stainless Steel watch color: black & brown Price: 40,000 ( Haipungui )...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilinunua piki piki kwajili ya matumizi binafsi kwenye shuguli zangu za kila siku. Kwa sasa nimepata usafri mwingine kwajili ya shuguli zangu. Na mimi ndio mwenyewe piki piki hii na...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Wadau nilinunua hii mashine mwaka jana mwezi wa 11 hivyo bado mpya ina milango 8 na master,shilingi 600,000/=,kinachonisababisha kuuza ni kukosa usimamizi wa biashara niliyotaka kuifanya...
0 Reactions
5 Replies
737 Views
Nauza Metal feni iliyotumika muda mfupi, infaa kwa matumizi ya kumbi za mpira, baa, club, kanisani na sehemu kama hizo. Bei ni 120,000. Tsh. Ni inbox nikuuzie.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Najua ni wengi wanakereka na hili,lakini zipo njia nzuri za kuweka mwili sawa, FITNESS EMPIRE tunakuletea kifaa rahisi kwa mazoezi ukiwa nyumbani kifaa ambacho unaweza fanya mazoezi ya mwili mzima...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
MAHINDI yanauzwa Tsh 470/kg Ziko tani 400 Mzigo unapatikana tabata- Dar es salaam. MAGUNIA yaliyotumika mara 1 yanauzwa. Yako 2200 Bei kwa gunia 1 ni tsh 2500 Magunia yanapatikana tabata- Dar...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Epson L800 nzuri kwa kuprint picha na mahitaji mbalimbali inatumia external ink ipo vizuri kama unahitaji ni sms 0715387545 au piga simu TSH 650000
0 Reactions
2 Replies
4K Views
I am the one who deleted it myself. THE ITEM IS SOLD ALREADY
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Type-hp Processor-core i5 Ram-4gb Hdd-500gb Bettry life- 4 to 5hrs Price-400,000tsh 0764319884 dar es salaam
0 Reactions
9 Replies
962 Views
Wakuu habari za mihangaiko na kutafuta maendeleo!. Nimeanzisha Uzi huu maalumu kwa lengo la kuwaleta Engineers, Civil contractors na project managers pamoja kwa lengo la kupeana taarifa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Za mchana, kuna shamba Linauzwa vifaa tunauza vifaa vilivyokuwepo ndani ya shamba kama ifuatavyo; solar panels na battery yake size ya 300watts laki 6,vitanda viwili 4*6 kila kitanda laki...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom