Mzigo huo, changarawe mahsusi kwa wachimba visima na wajenzi zinatumika kuweka floor ya tarazo na linta pia mzigo upo mwingi kama unahitaji nicheki inbox kwa maelezo zaidi na bei, nauza kwa piece...
Habari wakuu,
Nauza majiko ya kisasa yanayotumia mkaa kidogo kutoka kampuni ya burnstoves.
Yapo matatu na kila moja nauza Tshs.100,000/= kama una pungufu unaongea.
Nipo Dar es Salaam,
Namba...
Friji kubwa kabisa used aina ya Samsung yenye milango miwili inauzwa kwa bei nzuri tu ya shilingi laki 450,000/= pia mazungumzo yana ruhusiwa.Friji bado ipo kwenye hali kabisa.Kwa serious buy...
Pichani ni asali ya nyuki wadogo halisi kwa asilimia 100
Ukitaka kupima kabla hujachukua ni sawa
UKITAKA KUJUA UHALISIA
>chachu
>nyepesi
>rangi ya kahawia
MWENYE kuhitaji 0683936934
Bei...
Good condition
-18PPM
-Print , Copy , Scan and Fax (phone option)
-Low Noise level
-Low power consumption (power saver) auto sleep on
-Handles A4,A5&B4 paper
-Weight 8Kg
Main advantage saves...
Tunauza vifungashio vya plastic vilivyo bora kabisa na kwa bei nafuu.
Vifungashio tulivyonavyo kwa kiitaalamu vinaitwa plastic zip bag.
Vipo vya ujazo tofauti kama inavyoonekana hapo chini na bei...
Ps3 250gb storage with 5 Games inside, 2 pads and full accessories For Sale Tsh. 350,000 Maelewano yapo. Nicheki Whatsapp Tu kwa 0625612638 au 0677888412
salaam...
kama unahitaji UPS used kwa bei rahisi ya kutupa njoo pm au weka comment hapa.
picha zime ambatanishwa.
nb: battery imeisha, itabidi ui-replace kabla hujaanza kuitumia.
sina...
Naitaji dishi na decorder yake campany ya AZAM nipo mwanza hata used nachukua ili mradi iwe poa ktk shughuli zangu za kuonesha mpira bei chip
0753358283
Jaman mwenye simu ya haloteli yyoyote kutoka shop naomba anicheki tufanye biashara ....nahitaji has a has a smart phone ya haloteli
Anicheki kwa hii no..0625873353
Mabadiliko ya technologia yamefanya ufanyaji kazi wetu wa biashara ubadilike sana,kuna biashara ambazo zimekua kwa kiwango kikubwa kwa muda mfupi,na kuna biashara zimeanguka pia bila...
Tecno j8 bado ipo kwenye hali zuri kabisa
Camera front 8 megapixel second 13 megapixel
Storage 16GB ram 2GB display 5.5 Inch ipo fresh Bei ni 170000 tuuuu
You’ll find tons of helpful tips and articles for singers in my new book 101 Letters from a Vocal Coach, now available in paperback from Amazon, Barnes & Noble and Lulu. For more info and for...
Tuwasiliane kwa Mwenye uhitaji wa hizi bidhaa;-
Display ya miwani inauzwa 300,000 INA Display miwani pc 105(mia na tano) kwa wati mmoja.
Ni kubwa, na juu kabisa INA vioo viwili.
Inafaa kwa mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.