Sasa unaweza Kutrack maendeleo ya mazoezi na afya yako kiujumla
Inapima step ulizotembea,mapigo ya moyo,umbali,mafuta ulichoma( calories) inakuonesha nani anapiga katika simu yako,na sms...
Habari?
Nauza laptop ya Apple aina ya Macbook Pro, yenye specification zifuatazo:
Hard disk GB 500
RAM GB 8
Graphics Card (vRAM) GB 1.5
Processor Core i5
Condition ni Used kidogo sanaa na ina...
Ipo Canon 700D ina lens ya 75-300mm , battery , charger pamoja na 16GB Memorycard
Bei ni 1.2M
Bado mpya kabisaa niliinunua pale Jumbo Posta mwaka huu mwanzoni.
Nipo Ilala
Nitafute kwa 0765961152
Wasiliana nami kama unahitaji Mali hizi kwa namba muda wowote....
or
WhatsApp 0652576717
1.Kitanda Full chuma + Godoro full nyama (inch 8)
Vyote Size ni 5×6
Tsh 390,000 vyote kwa...
Nyumba nzuri yenye uimara inauzwa
-ina vyumba vitano vya kulala
-ina ukumbi mdogo wa sinema
-ina nyumba ndogo ya wafanyakazi
-ina ofisi
Iko latika eneo la ukubwa wa 4329 sqm
Eneo ni mbezi juu...
Habari wakuu,
Nauza laini za uwakala, ziko mbili ya tigopesa na airtel money. Zote naziuza kwa Tshs.300,000/= ama kwa moja moja tigopesa nauza Tshs.180,000/ na airtel money nauza Tshs.120,000/=...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.