Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ipo maeneo ya Kinondoni. Ghorofa moja, nyumba za chini pamoja na fremu mbili nje. Kwa sasa bei 350,000,000 mil Ina hatimiliki Ukubwa wa eneo sqm 600 Inafaa kwa office, restaurant, hospital...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
House For Sale Location : Dundan Mkuranga near to neelsalt Price : 45,000,000/ Negatiable Details 3 bedroom 1 Master room Big sitting room Dinning room Kitchen Store 2 vallander + 2 Flem Plot...
0 Reactions
0 Replies
538 Views
1. Mahali : Kitunda Relini-Ilala Dar es Salaam. 2. Mtaa : Majani ya Chai/ Kwa Traffic 3. Umbali : Kutoka Barabara ya lami dakika 7 4. Kiwanja: Sqm 357 5. Hati: Hati ya Serikali ya Mtaa 6. Vyumba ...
0 Reactions
1 Replies
648 Views
Chanika Magenge, mtaa Toroka Uje. Bei 16milioni. Serious buy nipigie tufanye biashara 0712347749, 0746474849. Nyumba ina vyumba 3. Master 1, viwili vya kawaida Choo cha public kipo ndani...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
OFFER OFFER OFFER [emoji95][emoji95][emoji95][emoji91][emoji91][emoji91] *IMESHUKA BEI JUMBA LA KIFAHARI KIBAMBA KWA TZS. 180m, UNAWEZA KUTUTANGULIZIA 50m UKAINGIA, HALAFU INAYOBAKI UTATUAMBIA...
8 Reactions
67 Replies
5K Views
Nyumba inauzwa Tanga mjini, Kange 3 Masters Bedrooms na moja ipo ghorofani in sitting room. 3 Normal bedrooms. Car garage (parking) public toilet kitchen Siuting room & Dining room Mabanda 7...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA BEI YA KUTUPWA. INA HATI MILIKI. IPO KIGAMBONI MWEMBE MTENGU. BEI NI MILION 160 TU 0744993715 SIFA YA NYUMBA. Vyumba vinne vya kulala kimojawapo ni Master kubwa...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu? Nimeamua kuwaletea hii taarifa njema, hasa kwa wale wenye tamanio la kuishi Tabora (Unyamwezini) kwa watoto wa kiarabu. Kiufupi ni kwamba nyumba ina sehemu mbili... Nyumba kubwa...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nyumba inauzwa, ina, vyumba 6 na uwanja robo hekta, Ipo karibu na chuo cha Hombolo ambacho kinawanafunzi elfu 8+ Pia unaweza kuifanya hostel kwani imezungukwa na Hostels pia. Price...
2 Reactions
3 Replies
624 Views
Habari wana jukwaa..., Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyumba ya vyumba 3 vya kulala na sebule, ipo ndani ya fensi. Inahitaji marekebisho machache. Uwanja una ukubwa wa 20m x 18m, hauna hati ila kuna mkataba wa mauziano ya kiwanja. Maji ya DAWASA na...
0 Reactions
5 Replies
774 Views
Ni nyumba yenye vyumba vitatu, viwili vikiwa ni master pamoja na sebule na dining room. Eneo Lina ukubwa wa MITA 70 kwa 21, kuna eneo la shamba kama linavyoonekana kwenye picha. Bei yake ni nafuu...
0 Reactions
0 Replies
496 Views
Eneo liko Kibaha kwa Mfipa jirani na Sec. ya simbani . Lina ukubwa wa nusu heka, kuna boma la nyumba ya vyumba 3 ambavyo vyote ni master, seble jiko na dining. Nimeezeka vyumba 2 na vyoo vyake...
0 Reactions
1 Replies
485 Views
Inauzwa milioni 12 pungufu unaongea ipo zinga ukihitaji nicheki 0718127413
1 Reactions
17 Replies
1K Views
NYUMBA INAUZWA Milioni 45 tu(45,000,000/-) Ilipo kibaha picha ya ndege. Kilomita moja kutoka main road. ENEO UKUBWA 20*25 VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO LA NDANI Nyumba ni nzuri...
1 Reactions
2 Replies
870 Views
Kuna vyumba viwili na seble moja kiwanja ni 25 kwa kumi 15
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Km 1 kutoka ferry. Unaweza kufanya ukarabati ikatumika kwa kupangisha au hostel. Vyuo kadhaa vipo jirani. Bei : 35 M 0746 474849
0 Reactions
6 Replies
967 Views
Nyumba inauzwa ina vyumba vinne, ina fensi, ina hati miliki, kiwanja ndani ya fensi ni kikubwa unapaki hata gari nne. Ipo Mwanza mtaaa wa Nyangomango Center, kutoka barabra kuu ni sekende...
1 Reactions
2 Replies
821 Views
..
1 Reactions
16 Replies
4K Views
njoo ione vyumba 2, kimoja master na sebule nzuri kabisa.. ipo wilaya yai IKUNGI SINGIDA
1 Reactions
5 Replies
486 Views
Back
Top Bottom