Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

We deal with photocopy, printer, computer, cctv camera and counter money Repair in term of :services :repair :spare parts Location_ dar es salaam For more infmation: call/sms/0687982122
0 Reactions
6 Replies
862 Views
Kiwanja kinauzwa kipo Madale mkoroshini karibu na barabarani kina ukubwa wa square 625 bei million 23 no:0756855563
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Display for COMPUTER. 19" size Wide Clean and works Fine Display Only PRICE 85,000/ Serious Buyer CaLL 0682-030046. Dar es Salaam Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
693 Views
Habari!kwa uhitaji wa kufungiwa ELECTRIC FENCE bhasi usisite kuwasiliana nasi 0620384835/0716866626 Tunapatikana Dar Nb:Popote tutakufikia bila shida Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Friji ipo kwenye hali nzuri muonekano mpya haijachezewa sehemu yeyote. Lina milango miwili american doors na freezer -drow mbili kwa chini..Nauza kwasababu nataka kuhama..hivyo napunguza vitu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wana JF kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nina Toyota pick up double cabin new model naikodisha dereva ni Mimi mwenyewe.Napatkana Mwanza Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
3K Views
On sale M-SATA SSD 512GB cleanest Condition Price 250,000// Dar Es salaam CaLL 0682030046 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Ipo katika Hali nzuri, internal memory ni 32Gb na Ram ni 3Gb, Camera yake ni 16mp yaani inatoa picha clear kabisa, Njoo tufanye biashara tuwasiliane kwa namba hizi 0653277662 Bei ni 260,000 pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nataka nifahamu ni wapi naweza badilisha hii sarafu kwa hapa tanzania Exchange yake ni almost laki sita Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
12K Views
Habari zenu wana JamiiForums, naomba kuuliza bei ya jumla ya kuuzia samaki kwa Arusha ni shillingi ngapi kwa kilo moja au zaidi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Heshima zenu wakuu Kwa ambaye anajua kampuni ambayo inaweza kusafirisha mzigo kutoka Marekani hasa mji wa Iowa kuja Tanzania kwa njia ya ndege Naomba msaada wa mawasiliano yao Au kama kuna mtu...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
TV ilipasuka kioo ni flat alijitolea rafiki yangu apeleke TV kwa fundi. Mwanzo alidai elf 80 lakini havikuepo jana nikamwambia twende tuirudishe nipeleke Dar nashangaa leo anasema vioo vimekuja...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Ni saa Original kabisa warranty ni 1 year Mikanda ni ya lether original Water resistant Free Delivery Whatapp 0658749848 or 0686879011 Mimi napatikana Mbezi mwisho pia sijafungua ofisi bado...
3 Reactions
88 Replies
17K Views
NOKIA LUMIA 950XL Model RM 1116 Laini mbili Mpya kwenye sealed box D'Salaam 250,000/=
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Habarini, Ninahitji mashine ya NMB-WAKALA haraka ambayo imesajiliwa kwa jina lolote, mwenye nayo tuwasiliane kwa pm
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, kama kuna mtu ana mashine ya miwa anaikodisha naomba tuwasiliane.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za mida wana JF, Wakuu kama kuna mtu mwenye uhitaji wa site ya kufanyia kazi ya kuzia chips ama chakula kiujumla site ipo maeneo ya Kunduchi imetazamana na chuo cha jeshi kuna pub tayari...
0 Reactions
7 Replies
962 Views
Habari zenu, Naulizia wapi wanaprint mifuko ya mikate ile ya lailoni nyepesi. Au kama mtu anaprint nina shida naye, nataka kujua na bei yake ipoje? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Habari wakuu simu tajwa hapo juu inauzwa kwa bei nafuu ya Tsh 220000,iko kwenye hali nzuri kabisa Niko Mwanza 0764339400 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
730 Views
Gari iko sokon. Haina muda mrefu toka iingie bongo. Ilikua inatumika kwa usafirishaji ila kuna misunderstandings zimetokea btn owner and driver hivyo imeamuliwa kuuzwa. Gari iko Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…