Ni nyumba ya chumba 2 inachukua eneo dogo tu la 40,05 m²
Quarto maana yake ni chumba(room)
Sala maana yake ni ukumbi(sitting room)
Banheiro maana yake choo(Toilet)
Cozinha maana yake...
Habari wanajamvi,
Mimi ni mkazi wa Morogoro, natafuta nyumba ya vyumba vinne maeneo ya Kihonda au Azimio au Kilimanjaro kwa ajili ya kupanga.
Mwenye nayo ani PM
Habari wapendwa poleni na majukumu.
Nauza shamba langu linapatikana mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa barabara ya mikumi kilosa njiani au barabara ya Kilosa - Mikumi.
Mkoa wa Morogoro
Wilaya ya...
Wakuu
Wale technician nahitaji screen ya MacBook Pro 13 Latina ya 2017 kama unacho njoo na offer yako na bei ya kufix
Bei iwe ya Corona tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
NATAFUTA KIWANJA , SHAMBA , ARDHI MOROGORO MANISPAA
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, natafuta Kiwanja, Shamba au Ardhi ya kununua Morogoro Manispaa.Ardhi ninayohitaji iwe aidha...
Kifaa Cha Geophysical, kwa ajili ya utafiti (survey), ktk sekta ya madini n.k, hutumika ktk kutambua mwamba wa madini Kama dhahabu etc. Almost new
Kifaa ni aina ya Merry-24, brand ya NordWest...
Inauwezo wa kuweka Sim card na kutumia kwa matumizi ya simu Kama kawaida,unakaa na chaji Sana,Ina Camera,pia mikanda yake ni imara sana, Warranty ni 1 year, Free Delivery in Daresalaam na mikoani...
Tunaweka urembo wa madirisha, milango, nguzo na kona ya nyumba yako ili kuipa mwonekano mzuri zaidi....Wasiliana nasi kwa simu namba 0789 005562
Nitakupigia Urembo kwa bei nafuu kabisa ndani na...
Kwa kuzingatia hali jijini. TEDDY MASSAGE tunakuletea punguzo kubwa (30% OFF) la bei katika huduma zetu zote za Massage. Karibu sana.
**Teddy 0717565356
Wale woote wanaohitaji laptop za kuanzia laki mbili na nusu, zimekuja zipo pc 3
Sifa zake ni: hdd 80,ram 2gb,3 hours battery, warranty one year, bei tzs 250,000
Tupo Kariakoo , pia tuna tawi...