Habari. Mtambo wa kunawia mikono bila kugusa koki wala sanitizer unapatikana nchini. Kuanzia tarehe 10/06/2020 kwa bei nafuu. Huna haja ya kugusa koki wala sanitizer ili kuutumia hivyo kukuokoa...
Nauza kiwanja Kigamboni - gezaulole kina hati miliki original kutoka ardhi kiwanja kimepimwa huduma za kijamii zote zipo bei mil 25 karibuni contact 0714787795 / 0743251666
Ukubwa wa energy ni...
TOYOTA LAND CRUISER
MANUFACTURE YEAR:2018
ENGINE CAPACITY Cc: 4461
MILEAGE: 38,814km+
ENGINE CODE:IVD-FTV
FUEL: DIESEL
STANDARD FEATURES
RUBBER FLOOR MATS
8.5TONNES WINCH
FULL SUSPENSION UPGRADE...
Tangazo Wahi viwanja Kiwanja kibaha miembe saba mita 20*20 (Square mita 400) bei Million 4.5
Mteja unaweza kulipa 250,000/= kila mwezi kwa mwaka na nusu ukitaka kulipa cash bei Million 4 kamili...
Nahitaji ajira ya udereva wa bodaboda iwe ya mkataba au malipo ya wiki, au Bajaji.
Ninajiamini mimi ni mwaminifu na niko tayari kufanya kazi vizuri kutokana na makubaliano yetu.
SIFA ZANGU...
Discover 4 Latest Version
Year 2015
Registration # DMB
Diesel Fuel used
Engine cc 3,000
Milleage 42000 Km
Auto Gear Noble
OPTIONS
-Rivers & front cameras
-7.2 inch DVD Radio display
with 2 USB...
Kwa wale wapenzi wa martial arts, leopard inawatangazia nafasi za kujiunga ili upate mafunzo ya kujiamini na silaha na mazingira mbalimbali, leopard ina walimu wazuri na imeota wapiganaji wazuri...
ziko Tegeta Wazo
bei 200,000 inapungua kidogo ela ya usafirishaji
inahitaji kubadirishwa miguu
kitamba kigumu unaweza badirisha ukipenda au ukakiacha kwakuwa kimepauka kidogo siyo sana...
Habari zenu humu ndani.
Mimi nina mashine ambazo naweza kukodisha au nikipata tender nifanye. mashine nilizokuwa nazo ni kama ifuatavyo
1) mashine ya kutengeneza pavers
2) mashine yakutengeneza...
Habari!
Watu wengi wenye nyumba wamekuwa wa kilalamika juu ya mifumo ya maji kuvujisha maji kutokana na uchakavu ama ubovu wa kazi zinazofanywa na mafundi. Mabomba yakivujisha maji nyumba haiwezi...
Wakuu habar za asbuh , Mwenye ujuz ,uzoefu na logistics au usafirishaji Wa makaa ya mawe naomba aje inbox tufanye biashara maaana nahtj huduma hyo. Ahasanteni.
Ninaomba wakuu mnaoilewa toyota brevis, ninapenda brevis yenye cc3000, je kuna utofauti mkubwa wa fuel consumption kati ya brevis ya cc3000 na ya cc2500? Na je nitakapotaka kuiuza brevis yenye...