Unasumbuliwa na mfumo wa maji katika nyumba yako? Tuite nasi tutaitikia wito


pmoses95

pmoses95

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
2,733
Likes
847
Points
280
pmoses95

pmoses95

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2012
2,733 847 280
Habari!
Watu wengi wenye nyumba wamekuwa wa kilalamika juu ya mifumo ya maji kuvujisha maji kutokana na uchakavu ama ubovu wa kazi zinazofanywa na mafundi. Mabomba yakivujisha maji nyumba haiwezi baki salama. Tatizo hili linaweza tatuliwa kwa kurekebisha sehemu inayovujisha au kubadili mfumo mzima kulingana na ukubwa wa tatizo.

Kama unakabiliwa na tatizo hili tutafute ili tuje turekebishe kabla madhara hayajawa makubwa.

Wengine wamekuwa waking'oa na kutupa vyoo vya kukaa kutokana na tatizo la kuto ingiza maji ktk tank lake. Huna haja ya kununua choo kingine kwani hilo tatizo linarekebishika.

Pia kama unanyumba yako mpya unahitaji mafundi wa mfumo wa maji "plumbing" karibu sana sisi tupo kukushauri na kufanya kazi hiyo.

Tunafanya kazi ktk nyanja tofauti, mfano:
Kwenye mahotel, apartments na nyumba za kawaida.

Pia tunajenga majengo ya aina mbalimbali.

Kazi zetu ni za uhakika. Kabla hatujakukabidhi kazi ya mfumo wa maji tuna test na pressure pump ili ujiridhishe.

Pia tuna treat na kurekebisha swiming pool.

Karibuni.

0655173113 for calls and whatsap
Instagram FUNDI MAHIRI WA UJENZI
 
pmoses95

pmoses95

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
2,733
Likes
847
Points
280
pmoses95

pmoses95

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2012
2,733 847 280
Karibuni
 

Forum statistics

Threads 1,237,964
Members 475,809
Posts 29,308,152