Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Zinapatikana DSM Bei kuanzia laki 2 kuhusu Dereva Inategemea na kazi kama n private au ni ya campany. Zote namba D hizo znapatkana mbez beach. Karibuni 0673263071
0 Reactions
1 Replies
692 Views
Vukaboda #1 Smart Shopping Online in Tanzania Expect More. Pay Less Our online store sells clothes, shoes and other industrial goods from leading brands in the world with fast delivery and...
2 Reactions
4 Replies
924 Views
Aina: Coaster Ubora: Mint condition plus AC -Nahitaji gari hiyo ya kubebea abiria. -Isiwe na mkorogo wowote. Ikiwa na 28 seats hii italeta 100,000 kwa siku. Pungufu ya 28 seats hesabu itakuwa...
0 Reactions
0 Replies
446 Views
Ninauza PS4 Slim (mpya), ina pad 2. Capacity 500GB. Nipo Dar (mkoani nitatuma pia but kwa gharama ya mnunuaji). Bei TZS 900,000/= Comes with CD ya Fifa19 Mawasiliano: +255 752 998 891
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza mayai ya kanga na mayai ya kuku wakienyeji pure karibuni sana Bei sh 18000 kwa trey moja Yanapatikana kimara mwisho Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Habari wakuu, Mwenye hii adaptor hapa chini naomba aniuzie, hii imeungua na mashine imeisha chaji nashindwa jinsi ya kuichaji.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ipo 10 na ni ya kampuni ya mihan(5) na oryx(5)! Midpgo ipo 8 na mikubwa miwili. Yote ipo songea ukihitaji nakuletea usafiri kwa mikoa ya dar njombe, makambako, iringa, morogoro na mbeya ni rahisi...
0 Reactions
11 Replies
941 Views
Hp elitebook 8460p HDD 500GB RAM 4GB Operating system Windows 8 Processor intel inside core i5 (2.60GHz) Bluetooth built in 3hrs battery life Power adapter External mouse Finger print...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Karibu ujipatie kiwanja cha makazi au biashara kwa bei rafiki kabisa kuanzia 3m. Huduma za Maji na umeme kwenye maeneo husika zipo.
1 Reactions
0 Replies
953 Views
Wewe mtanzania ambaye bado unaendelea na ujenzi jipatie frool tiles kwa bei nafuu ukubwa wa tyles ni 50×50 bei ni 3000 kwa kila moja :mawasiliano ni 0788274721 na utaletewa popite ulipo ndani ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ina fence na geti la kisasa Ina vyumba vitatu (3) kimoja ni Master bedroom Inside public toilet na outside public toilet (choo cha mlinzi) Stoo, Parking kubwa ya paving, Sebule, Dining na Jiko...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
sifa zake: - inapima mapigo ya moyo, blood pressure pia ina hesabu hatua. - inakupa taarifa kama kuna sms au mtu anapiga kwenye simu yako. - inakuonesha notification za mitandao ya kijamii -...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Kwa wakazi wa Dar tunakuletea BURE hadi ulipo kisha ndio utalipia. Kwa wakazi wa mkoani mtumie hela ndugu au amaa yako aje ofisini kwetu Kinondoni Mwanamboka alipie kisha akutumie wewe au tuma...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ENEO LA BIASHARA+ MAKAZI-DODOMA(Ukisikia bahati ndio hii) MAHALI[emoji666]Michese-Iringa road(Nyuma ya usalama wa taifa). -Eneo liko opposite na kibao cha shule ya msingi michese(utaona kwenye...
0 Reactions
141 Replies
29K Views
Fursa kwa kampuni /mnunuzi wa mchele kwa jumla kuanzia tani 2 na kuendelea jipatie mchele Safi kutoka hapa Didia kwa Bei nafuu kabisa kipindi hiki cha mavuno na nitakuwa nawe bega kwa bega kwa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, nahitaji madini yafuatayo yenye ubora mzuri na bei nzuri: 1. Ruby 2. Sapphire 3. Aquamarine 4. Garnet 5. Gold (Dhahabu) 6. Tanzanite 7. Crome Tourmaline 8. Diamond Tafadhali endapo ni...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nafanya ufundi wa vitu vifuatavyo:- 1. Nafanya LAN ya uhakika na kufunga access point( wireless) 2. Nafanya installation ya cctv cameras kuanzia maofisini, dukani na hata majumbani nnazo cctv za...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta mtu au kampuni inayoweza kusuply 100kg za makaa ya mawe kila baada ya siku saba. Kwa biashara zaidi njoo PM sasa hivi nikupe utaaratibu. Aksante.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za leo! Kuna shamba linauzwa maeneo ya Kiromo Bagamoyo kilomita 5 kutoka Bagamoyo road. Ukubwa wa shamba ni heka moja na limepandwa mihogo mwaka jana december. Bei ni million 7.5 na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…