Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa picha na maelezo zaidi piga simu... 0688351006 kwa maelezo zaidi.
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Lenovo x250, core i5-5300U, CPU@ 2.3GHZ 2.9GHz, RAM 4GB, HDD 500GB,Intel HD graphics 5500 with 2.12GB memory, iko very slim na portable 12.5" display, battery can last up to 4hrs, price 500,000Tsh...
0 Reactions
2 Replies
990 Views
Car Basic Info Chassis NZE121-5025689 Maker TOYOTA Name RUNX Grade X AERO TOURER 2WD CC 1490 Color SILVER RYear 2002 /4 PYear 2002 KM 85 Price 13m. Piga simu 0688351006...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Call:0689378424/0754405179/0679531937 Nissan Xtrail Year:2000 1980cc, Haina tatizo lolote/Haidaiwi Bei:Milioni 6.3 Ipo:Kariakoo
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu, naomba msaada kwa anayefahamu ni wapi naweza pata mashine kwa ajili ya kukaanga karanga kwa ajili ya biashara.
0 Reactions
10 Replies
6K Views
-Apartment iko posta ghorofa ya 10s -Ukiwa kwenye apartment unaitazama bahari kwa upande mmoja kwa upande mwingine unautazama mji kwa ufasaha kabisa -Ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja ni...
6 Reactions
131 Replies
12K Views
COMPUTER ZIMEWASILI TOKA U.S.A Drone Computer tumekuwa kwa muda mrefu tukitoa ushauri wa computer, mafunzo ya kutumia computer,matengenezo ,kuwaletea sample za computer bora. Wiki hii tuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kupata Huduma hizi wasiliana nasi 0626814150/0765105802. 1.Ramani za Majengo ya kibiashara <Lodge, Guest house, hotel, mighawa, maghala supermarket>, Huduma za kijamii <Shule, hospitali> na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa kupata Huduma hizi wasiliana nasi 0626814150/0765105802. 1. Ramani za Majengo ya kibiashara <Lodge, Guest house, hotel, mighawa, maghala supermarket>, Huduma za kijamii <Shule, hospitali> na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Nahitaji godoro la size ya 5 kwa 6, 4 kwa 5 au 6 kwa 6. Nimechoka kulalia mkeka, mbavu zinauma. Likiwa inchi 5 na kuendelea inapendeza. Sichagui kampuni kikubwa liwe kwenye...
0 Reactions
8 Replies
919 Views
Ipo clean kabisa kama unavyoiona kwenye picha. Haina shida yoyote. Nicheki WhatsApp: +255676095799 au normal calls kwa +255683018095. Bei: 3.4million
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Kiwanja kinauzwa, Kigamboni, Toangoma (Kituo funcity) mtaa wa malela kipo jirani na nyumba ya karoti. Ukubwa Meter 26.5 * 20 Kina slope upande mmoja haiathiti ujenzi wako. Bei milioni 6 (Neg...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
2004 make 1.3CC, Maroon, Automatic, low mileage 49,000km, imported from Be Forward in Japan, 5 seater. the rest inajieleza yenyewe kwa picha zifuatazo. Bei kabla ya ushuru 5M. Ikishalipiwa ushuru...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Gari imenyooka sana iko mitaa ya Sinza 5n Mawasiliano; 0765 494 845
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Ipo Dar es salaam bei 130,000
2 Reactions
15 Replies
4K Views
UTUNZAJI WA VIFARANGA Malezi bora ya vifaranga ni muhimu katika ufugaji wa kuku kwa sababu vifaranga hawana uwezo wa kustahimili mazingira wakiwa wenyewe mara wanapoanguliwa.Ukosefu wa malezi bora...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa kipo eneo la mawelewele Iringa manispaa kimepimwa na kinafikika kwa barabara ya lami urefu ni 40m na upana 20m eneo la tambarare. Bei 28,000/= kwa meta moja ya mraba
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza mbwa aina ya bulldog kwa bei poa kabisa, wana matibabu yote ya kiafya na wana afya nzuri sana. Phone no.0716833834 mbwa wapo dar mbezi beach samaki
1 Reactions
70 Replies
14K Views
Habari zenu wandugu, Nimeanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, sasa nina changamoto ya soko la uhakika: natafuta soko la maziwa kwa ukanda wa Mbande hadi Mbagala, kwa sasa ninauwezo wa lita 10 kwa...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…