Ndugu wajumbe,
Pombe hii spirit ambayo imejipatia umaarufu mkubwa mtaani kwa siku za karibuni ambapo inazalishwa hapa hapa Tanzania mkoa wa Shinyanga. Wakati watu wakiendelea kufurahia radha...
Nyumba yenye vyumba vitatu kimoja master, Sebule, Jiko, Dinning na store Inauzwa Makongo juu.
Nyumba haipo mbali na Barabara kuu iendayo Goba na mlimani city! Nyumba ipo ndani ya fence yenye...
Vivanja 2 vinauzwa Kimara stop over.
Ni Kilometa 4.5 Kutoka Kituo cha basi Stop Over, Upande wa Kulia kama unatoka Ubungo.
Ukubwa wa viwanja
Sqm 903-Mil 38
Sqm 1117-Mil 43
Vimepimwa ila hati...
Tunauza bidhaa Bora & Original kwa Bei nafuu sana!!
Tunakusaidia Kujua bidhaa Original na zenye Ubora kwa hali Ya Juu sana! mawasilino zaidi
Mimi nauza online(winga) sina duka. soko la...
Wakuu nina Bat ziko Karibu 100 nauza ni gauge 28 zimepigwa msumari mara moja tu hazina Kutu zinaonekana kama mpya kabisa. bei ni elfu nne, elfu tano na elfu kumi na nae na nyingine elfu ishirini...
Jina la Biashara: Umuhimu, Namna ya Kulisajili na Faida Zake:D:D
1. Utangulizi kuhusu Jina la Biashara
Jina la biashara ni utambulisho rasmi wa biashara au kampuni inayotambulika kisheria. Jina...
Natafuta vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 28 kwa ajili ya kusimamia akaunti za biashara kwa kutumia mfumo wa roboti (robot) katika mazingira ya ofisi iliyopo Kinyerezi Mwisho, Dar es...
Kijana wangu anahitaji pikipiki used (iliyoko kwenye hali nzuri) cc150 ili iweze kupanda milima ya Rombo ikiwa imepakia mzigo (Isiwe Boxer)
IWE NA UMILIKI HALALI.....Offer yake ni shs 1mil cash...
Whitegoat is the fashion brand design with new look to the all level of design and quality on digital design at the new generation class (Logo,fashion cloth design,business financial)
Viwanja viwili vilivyo shikana VINAUZWA
Kila kimoja kina UKUBWA wa sqm 750
Na kwa kimoja KINAUZWA kwa tsh 150 milion
Unaweza uka double au uka Chukua kimoja kimoja
Viwanja vipo meter 200 kutoka...
Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote:
ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA
Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000
Arusha-mita moja tunachimba...
**🏡
-ina gharama nafuu!
Vyumba 2 vya kulala (kubwa na zenye nafasi).
Bafu na Choo:
*Jiko *
Sebule: Sebule ya kupumzika/wageni.
(ceiling fans) na *Air Conditioner (viyoyozi) (AC) kwa ajili ya...
JE, UNA NDOTO YA KUWA ENGINEER, AU DOCTOR?.
Timiza ndoto yako sasa.
Karibu MAPAMBANIO CENTRE- TEGETA NYUKI, uwe Master kwenye PHYSICS, CHEMISTRY, BIOLOGY na MATHEMATICS (O LEVEL & A LEVEL)...
JE, UNA NDOTO YA KUWA ENGINEER, AU DOCTOR???.. Timiza ndoto zako sasa.
Karibu MAPAMBANIO CENTRE- TEGETA NYUKI, uwe Master kwenye PHYSICS, CHEMISTRY, BIOLOGY na MATHEMATICS (O LEVEL & A LEVEL)...
Habari zenu..
Nauza samaki aina ya migebuka kwa jumla na rejareja..
Naweza kukuletea ulipo kulingana na idadi ya samaki utakaochukua..
Kuna wa mafungu na kuna mmoja mmoja.
Bei ya mafungu ni 2000...
Akiongea na vyombo vya habari kuhusu Sakata La Dada wa Aliyekua Balozi Cuba, Katibu mwenezi CCM , Mh Polepole, Leo Afande Muliro anamuita "Et MTU aliyejitambulisha '
Wewe Muliro Wewe utadhan...
Habari zenu?
Kiwanja kinauzwa 22X40 meters kina nyumba ya vyumba 3,na eneo limebaki wazi linatosha kujenga nyumba kubwa.
Kinatapatikana Bomang'ombe,Hai,Kilimanjaro.Nipo jirani na St.Dorcas...
Registration
Section 11 (1) of NSSF Act. (Cap. 50) requires every registered company under Companies Act, 2002 is required to be registered by NSSF and issued a certificate of registration...