Tv ni mpya
One year warranty pamoja na EFD receipt
Free HDMI wire and wall Bracket
Bei:275,000Tsh
piga/whatsapp 0788622610
tupo kkoo mtaa wa masasi/ndanda
TCL 55" LED 1080 HD HDMI 2 PORTS IN, USB 2 , 2 SETS FLOWER PIN
plus lock ya ukutani na miwani ya 3D model: TCL LED55V7300Q3D
Hii sio smart tv ila ina 3D Option na miwani ya kuangalia 3D kama...
Kwa wakazi wa Dar tunakuletea BURE hadi ulipo kisha ndio utalipia.
Kwa wakazi wa mkoani mtumie hela ndugu au amaa yako aje ofisini kwetu Kinondoni Mwanamboka alipie kisha akutumie wewe au tuma...
FRANK ELECTRONIC
BEI ZANGU NI NAFUU SANA KARIBU SANA
GOODVISION TV
GV-19 DOUBLE @ 140000[emoji91]
GV-21 DOUBLE @ 150000[emoji91]
GV-24 DOUBLE @ 190000[emoji91]
GV-25 @ 200000
GV-25 DOUBLE@210000...
Nina uhitaji wa haraka sana wa pesa, ninauza TV yangu... LG, Full HD nimeitumia kwa mwaka mmoja lakini ipo katika hali nzuri. Ipo hapa Sinza A, karibu na Mlimani City!
Tuwasiliane kwa...
Nauza Samsung LED 40 " Television UA40H5100AR.
Hii TV nilinunua mwaka 2016 kwa laki 9 elfu 60 enzi hizo.
Nauza kwa laki 5 tu.
Ipo Mbweni JKT, Dar.
Wasiliana Whatsapp 0625536529
Samsung...
NAUZA FLAT SCREEN
Brand star sat inch 43. HDMI+2.
smart tv
haina shida yoyote
Ina wiki tatu tangu ninunue
Bei 700,000
location sinza Africa sana
Kwa mawasiliano zaidi pm
Flat Tv kampuni la solarmax inauzwa laki mbili na 20 tu inchi 24 ipo vizuri ina mwezi mmoja tu
Ipo mbezi beach 0684777906
Au 0762612213
Pia ipo dstv bila dish elfu 35 tu
Sent using Jamii Forums...
:Hisense tv inch 43 version B6000 naiuza
:nimeinunua mwezi mmoja uliopita,haina shida yoyote
:kila kitu chake kipo-warranty,remote,boksi na maboya yake,stand ya ukutan pamoja na miguu yake ya...
Samsung Flat TV
Inch 24
Condtion New
USB☑️
Flash☑️
Unapewa na full accessories
Price 250,000
Phone 0675 053 168
WhatsApp 0747 765 944
Delivery kwa dar
Mkoani tunatuma.
Tcl led 40d2700 smart tv nch 40 used
Tcl smart tv fullhd resolution ina access ya internet yaani ni smart tv so iko na ethernet/wi-fi wireless so unaweza connect na simu yako or router nakuacces...
Nauza king'amuzi cha azam chenye dish lake pamoja na TV inch 21 ain ya Mr. UK vyote vikiwa na remote zake.
Bei yake ni laki tatu (300,000) kwa vyote.
Viko Dar, Nichek PM tufanye biashara...
-samsung inchi 49 inauzwa
-imetumika miezi 6 haina tatizo lolote
-ina warranty ya miaka miwili
-nakupa stand ya ukutani pamoja na TV guard bureee
-bei laki nane ( 800,000)
-ipo kimara mwisho
-...
Digital tv aina ya mobisol ipo sokoni imetumika mwezi mmoja tu
Sababu ya kuuza: nipate mtaji wa kuongeza kwenye biashara zangu
Nilinunua au ni ya wizi: jibu ni hapana kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.