Habari zenu wana JF,
Natumaini mko salama bukheri wa afya tele.
Tumia mda wako kusoma huu ujumbe natumaini utakua msaada kwako lengo n kusaidiana na sio kujinufaisha elimu hii inatolewa bureee...
Nyumba bora ya ghorofani, inavutia na ya kisasa. Nyumba ipo eneo tulivu la Mbezi Juu, ukiwa sebuleni au katika Varanda unatazama Bahari ya Hindi Au unapuliziwa upepe mwanana wa Bahari.
Nyumba ipo...
Land is suitable for both farming and commercial development purposes.
Fully fenced, great access, 8.3 acres’ land.Price TZS 8,500 million.Title deed ready.
Please contact for viewing and/or...
1996 model
4d35 engine Diesel power
Manual gear Transmission
Long base passenger seater
PRICE IS 53 MILLION TSHS ABIT NEGOTIABLE
Call/Whatsapp 0784225000
Nahitaji kuprint mifuko ile ya kuwekea unga..
Logo ninayo tayari
Nahitaji kujua gharama ni zipi kwa mfuko kg 5 na kg 25
Na mnaanza kuprint kuanzia pc ngapi
Mnatumia tecnolojia ipi
Kuprint au...
1991 model Japanese specs
Leaf flatted spring
Low mileage
New tyres by BF-GOODRICH TRIANGULAR MARKS MUD TERRAIN
Dashboard ndogo
PRICE IS 77 MILLION TSHS PLUS REGISTRATION
CALL/ WHATSAPP 0784225000
Naitaji Samsung Note 10 yenye hali mzuri no michubuko, ambayo imetunzwa vizuri.
Bajet yangu ni laki sita na nusu.
Niko Dar es Salaam.
Mwenye nayo tafadhali npm tufanye biashara.
Kwa mahitaji ya bustani/gardens za majumbani na maofisini,piga simu namba hizi hapa [emoji117][emoji117]0687239674.Tunapatikana Dar es Salaam, Tegeta na mikoani pia...
Hello members,
Natafuta mtu mwenye kuuza Diagnosis machine ya magari yote iwe mpya au used. Au kama kuna mtu mwenye software ya Diagonis machine aniuzie kwa ku install kwenye laptop yangu.
Karibuni
Wakuu
Kheri ya sikukuu ya Pasaka
Mimi ni mtanzania, natuma Simu Tanzania kwa bei za jumla hata 1pc unaweza agiza
Tuna ofisi Mbagala, kkoo, musoma, mwanza na Dodoma
Bajaj MC 459 CDG
Ipo Makumbusho, nilipaki muda mrefu (4 month) Sana sababu ya usumbufu wa hesabu kwa madereva usimamizi ni changamoto kwangu.
Haijawahi funguliwa engine hata kidogo.
Ina Bima...
Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600 na senyenge ina unene wa milimita 1.6.
Inafaa kwe fensi ya nyumba, maboma ya mifugo, shamba nk.
Bei kwa rola moja ni 110,000/=. Zimebaki rola3...