Jiko la gas na umeme pamoja na oven. (Gas 3 na Umeme Moja)
Limetumika kidogo sana. Ni VICTRA Japan.
Njoo ulione ujiridhishe. Bei inapungua
kidogo.
Lipo Segerea - Dar es salaam
Bei: 450,000/...
Tunatengeneza na kuuza mashine za kuchomea( welding) za size mbalimbali. Ni wakati wa kujiajiri sasa mambo yameshabadilika.
Bei inaanzia 300,000/-
Tunapatikan Ubungo
0713322856
NYUMBA INA SIFA ZIFUATAZO
1. INAVYUMBA 3
2.UMEME
3.MAJI
4.FENSI
#MALIPO
1.KODI 400,000 (LAKI NNE) KWA MWEZI. UNALIPIA MWAKA MZIMA.
2. MALIPO YA OFISI(UDALALI) 400,000/=
3. SITE VISIT 10000/=...
Karibuni Sana Chawging investment Kwa huduma za fumigation
Tunapuliza dawa za viuatilifu kutokomeza wadudu hatarishi warukao na watambaao majumbani, maofisini, mashuleni, mashambani, kwene...
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki,
Kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, nahitaji chumba cha kupanga kiwe kizuri chenye muonekano mzuri nje na ndani. Naweza kulipa 70k mpaka 80k per month so...
Kwa mdau yeyote anaetaka au anaevutiwa na ufugaji wa samaki aina ya sato na kambale basi karibu sana
Sisi tunajihusisha na kumtembelea mfugaji na kumshauri Kama eneo linafaa au halifai
Lkn pia...
Habari za asubuhi wadau...
Kama unaking'amuzi cha startimes antenna au dish na haupati local channels either hazipo au hadi ulipie nitafute....
Ninachohitaji ni kadi number ya king'amuzi chako na...
habari wandugu, nauza simu aina ya iphone X, imetumika kwa miezi mitano tu.
Ina uwezo wa gb 256,[emoji736]
Face Lock [emoji736]
True tone [emoji736]
Kwa mwenye uhitaji wa simu hii bei ni 800,000...
Jiko la gasi na umeme pamoja na oven. (Gas 3 na Umeme Moja)
Limetumika kidogo sana. Ni VICTRA Japan.
Njoo ulione ujiridhishe. Bei inapungua
kidogo.
Lipo Segerea - Dar es salaam
Bei: 450,000/...
Mliopo Dodoma Dar na moro naomba uzoefu wenu nataka kujua bei za karoti kwa kigunia na kabechi mwezi wa 11. 12 na januari huwa inacheza vipi ? Nampango wa kupanda zitoke hio miezi kwa hio naomba...
Nahitaji Kiwanja Arusha maeneo ya Kiserian, Moshono na Chekereni isiwe porini ukubwa uwe 10x15 au 15x15 bajeti yangu kwa kila kiwanja ni sh mil 2 kushuka chini.
Kama unamfahamu aliye nacho njoo...
Wakuu, ninafuga paka na sasa nimefikisha paka 765. Wana umri wa miezi 6 mpaka 8. Unaweza kumtuma popote pale na akakufanikishia kazi yako bila shida.
Nauza 20,000 kwa paka mmoja. Ukichukua zaidi...
Dulaiki Group, kupitia kitengo chetu Cha ujenzi. Ni wataalamu wa ujenzi wa majengo tulio na ujuzi na ubora wa Hali ya juu.
Sisi;-
✓Ni wataalamu wa Uchoraji wa ramani za majengo,
✓Ni wataalamu...
Nyumba pamoja na kiwanja vnauzwa Kimara Baruti. Ukubwa wake ni 35 kwa 30. Bei yake ni 50m maongezi pia yapo. Kwa mawasiliano zaidi piga 0687968594/0714140094
Habari mwenye gari tajwa hapo naomba anichek 0678265683. Sitaki Dalali maana wamekuwa na ubabaishaji unaenda kukuagua gari Kigambon mara gari haipo ipo Sinza mara gari ipo Mwenge. So kama ni...
Habari ndugu, jamaa na marafiki..
Naitwa Enock, napatikana Mbezi ya Kimara, Dar Es Salaam, Tanzania..
Mimi ni fundi wakutengeneza na kukarabati sofa pamoja na samani nyinginezo za majumbani kama...
Nauza Mchele Mzuri umenyooka na mtamu haswa, Wale wanaoujua wakyela wenyewe mtanielewa. Bei ni 1,700/= kwa kg 1.
Tunakufikishia hadi mlangoni pako kwa walio nje ya mji tu ndo wanachangia usafiri...