Ina vyumba 3 kimojawapo ni self,public toilet,jiko,dining room,sebule.Hati ipo,uwanja uliobaki unaweza kujenga nyumba nyingine kama hii.
Bei 22m
Maongezi zaidi au kuja kuiona wasiliana nami kwa...
Urgent pls
Nimejikusanya na kupata chenji kidogo, sitataja kiasi lakini haipungui tsh. 3 milioni. Naomba mniunganishe na dalali au site zenye gari used za bei rahisi nahitaji kausafiri msimu wa...
Wakuu, habari ya majukumu wanajukwaa,. Nakuja kwenu,Mimi nina kibanda cha MPESA eneo fulani lenye mzunguko kiasi ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Nilimekuwa nikifanya uwakala wa mitandao ya simu...
Nyumba inapangishwa kigamboni kwa sh. 300,000 karibu na petrosheni eneo la kwa msomali. Ina vyumba viwili vyote self contained, sebule, dinning room, choo Cha nje, jiko, umeme, maji, fensi pamoja...
Ni banda la chuma ambalo lina ukubwa wa futi 8 kwa 6.
Unaweza kuendelea kufanya biashara hapohapo au uhamishe, kwasasa ni duka/kibanda cha bidhaa za nyumbani pamoja na genge(meza za genge zipo)...
Natafta wateja wa jumla wa mahindi kuanzia gunia hamsini na Bei ya mahindi ni 5000 kwa debe kazi yangu ni kumkusanyia atanilipa elfu moja kwa kila gunia na gharama za usafirishaji ni juu yake so...
Mbezi, Dar Es Salaam, Tanzania.
Habari ndugu, jamaa na marafiki...!!
Naitwa Enock, napatikana Mbezi Louis(Mbezi ya Kimara). Mimi ni fundi wa kutengeneza na kukarabati sofa za aina tofauti...
Ni aina ya net ambazo zimekuwa pendwa kwa watu, Hii ni kwa sababu ya muonekano wake maridadi na pia, Ni net ambazo ni rahisi kuinstall na ku-uninstall (Kuiweka na kuitoa)
Zipo size 5*6 na 6*6...
Habari
Kama tunavyojua afya ya jamii ndo msingi wa maendeleo ya taifa,pia ili familia iwe na afya bora ni muhimu familia kupata lishe bora na kamili.
Basi kwa kutambua hilo,tunakuletea bidhaa...
Welcome to Data Expert and General Consultancy Firm
Website: Data Expert and General Consultancy
Email: info@afridataexpert.com
Mobile: +255 785 926 463
Data Expert and General Consultancy...
Kwa yeyote anaejua mtu au mahali ambapo wanauza magari aina ya "Mercedes-Benz G-Class" au "Gelandwagen" kama linavoonekana hapo chini naomba anisaidie kuna mtu anafanya biashara ya kuyanunua hata...