Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jamani wahitimu wote wa vyuo na hawana kazi tafadhali tujuane hapa. Mimi nimesoma chuo kikuu cha Dodoma shahada ya ukunga (bachelor of science in midwifery ) 2019. Nimetuma maombi kila kona ata...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Nahitaji inchi 40/mpaka 43 Iwe samsung, Lg, sony, TCL au kampuni inayoeleweka Pm
1 Reactions
4 Replies
1K Views
The leading Warehouse/Industrial's WALKWAYS Painting and SAFETY Signages Specialist. Contact Extraseen Company for more info at +255 625 962883. We will visit your site for survey then will...
1 Reactions
0 Replies
513 Views
MALIPO YOTE YAFANYIKE BAADA YA KUJIRIDHISHA NA KUPITIA UONGOZI WA SERIKALI. KARIBU SANA,WASILIANA NASI:0747175984
1 Reactions
5 Replies
654 Views
pikipiki chapa Gsm. Full Docs. cc 150, 5 gears. Haina changamoto zozote ni kuwasha na kuamsha Spea zake zinaingiliana na fekon, KiNGLION, San lg ipo Dar. Mbagala Zakhem
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari wana jamiforum mashine ya kuranda na kuchana mbao inauzwa iko vizuri kabsa kwani utaifanyia kazi kabla ya kuilipia. Bei ni maelewano :0747175984:pia whattsapp:0747175984: ipo Mbeya.ila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimehangaika sana kutafuta Frame za miwani kama hii maduka mengi sijafanikiwa. ningeomba mwenye ufaham anisaidie ntapata wapi frame za miwani kali kaam hizi.
0 Reactions
20 Replies
12K Views
Phone Details: Ram 2gb Rom 32gb colour: Dark blue ^haina mchubuko^ bei: 165,000 Piga simu 0713096076 Dar kimara corner
0 Reactions
3 Replies
826 Views
Gari iko poa haina shida yoyote. Tairi mpya. vioo vipya. Gari ni ya kumwaga oil na hydrochloric tu. tuwasiliane chap twende bandarini tukachukue gari location: Bandarini Dar es salaam...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Subaru sf manual Kimara 0626409908 price: 6m
0 Reactions
5 Replies
875 Views
Habari wana JF! Kiwanja kina ukubwa wa mita 24 kwa 20 chenye nyumba kubwa iloishia kwenye linta inauzwa,bei ni Milioni 15 (Punguzo unaongea). Nyumba ipo Bomba mbili,unashuka Mombasa(kabla...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kichwa tajwa hapo juu chajieleza kwa walichaguliwa kujiunga na chuo cha TIA darna wanatafuta chumba cha kuishii tuwasiliane 0764240743
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kiko mita 200 kutoka kituo cha kona ya maroroni maji ya chai barabara kuu ya moshi arusha ukubwa ni mita 30 kwa 15 kinaumiliki halali kiwanja kimezungukwa na maeneo...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
NYUMBA inapatikana KITUNDA, nyantira Km 3.5 kutoka nyerere road (old pugu) Nyumba INA chumba kimoja (self), sebule na jiko. Ina tiles, gypsums na slides windows. Maji+Umeme (24/7) Iko ndani ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nipe 100k nikuachie iPhone 6+ ,simu iko kwenye hali nzuri imetumika miezi minne tu, bahati mbaya imedondoka ikapasuka kioo ukichomeka chaji inawaka. Gharama ya kioo na matengenezo ni 65k tu. Ipo...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Hii sio ya kukosa viwanja vipo mwembe mdogo Kigamboni vina ukubwa wa mita Kuanzia 20×20 na kuendelea Bei ml 5 pia Unasikilizwa mteja malipo asilimia 50 Kilicho baki ndani ya miezi mpaka 3 tucheki...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari Nauza gari Nissan extrail for repair or spare. Ilipata ajali ikagongwa mbele. Inahitaji nose cut complete. 2004 Tuwasiliane kwa namba 0713750760 bei 3,800,000 gari iko Dar Goba. Engine...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Collora x iko Njombe inauzwa m 5.5 kwa mawasiliano zaid 0763165384 au 0747174196. Maongezi yapo.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA na Meya wa zamani wa Ubungo mh Bonny Jacob sasa amejikita kwenye ujasiriamali anauza mayai ya kisasa jumla na reja reja Kwa maelezo zaidi tembelea kurasa zake za...
6 Reactions
47 Replies
5K Views
Habari wana jukwaa, kwa wakazi wa Mbeya mjini wenye uhitaji wakusafirisha 🚚bahasha ndogo ndogo, mizigo kama furniture, gunia za mahindi n.k. kwa hapa hapa mbeya mjini na pia kuelekea Mkoa wa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…