Saa za kike na kiume 13000
named bracelets 9000
Tunapatikana Dar na unaletewa popote ulipo ,mikoani tunatuma kuanzia pc 3 (zote nauli ni juu ya mteja)
Piga/WhatsApp no +255(0)744741596
Aina - Ayrshire
Amezaa Mara mbili teyar, Hana mimba ni WA kupandisha ndama wa mwisho ana mwaka 1.
Amekamuliwa mwaka mzima. Ko sahiv maziw yapo kidogo . Sema akizaa ni ngombe mwenye maziwa sana...
Tanlands real estate tunauza shule ya sekondari iliyokamilika yenye majengo ya madarasa ya maghorofa Mbezi Luguruni karibu na hospitali ya mloganzila bei: tshs. 1.8/= bilioni tu mapatano yapo...
Wakuu nauza home theater yangu,
Watts 800
Haina blootuth
Inahitaji marekebisho kidogo upande wa cd
Zaidi ya hapo kila kitu kinafanya kazi, bei 350,000
Picha na mawasiliano zaidi 0658644485
Habari!
kwa mahitaji ya miche ya matunda na miti aina zote wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0672087564/0693785860 pia tunatoa ushauri wa kitaalamu kwa matokeo Bora zaidi ,huduma zinapatikana...
Nyumba inauzwa Bagamoyo mjini
Ina vyumba 3 vya kulala
Kimoja master
Eneo square mita 800
Bado mpyaaaaa
Bei 190M
Maongezi yapo 🙏🙏
Mawasiliano 0757854660
TANLANDS REAL ESTATE
NYUMBA INAUZWA MSONGOLA
WILAYA YA ILALA:
NI NYUMBA MPYA KABISA
[emoji3591] BEI NI: TSHS. 45/- MILIONI
NYUMBA INA:-
[emoji3591] VYUMBA 3 VYA KULALA
[emoji3591] DINNING ROOM...
Habari wana body
Zinahitajika gari 10+ za kuweza kubeba Contena kutoka bandarini kuleta kwenye ICD iliyoko vingunguti.
Contena zipo 100
Zinatakiwa zianze kutoka jumatatu asubuhi
Kama una gari...
Habari wadau wa magari nauza gari yangu mistubishi GDI ina engine ya noah 3s.
Gari ipo safi safari popote inakula 1ltr per 12 km high way mjini inakula 1ltr per 10km
Test drive onaruhusiwa
Gari...