Kiwanja kinauzwa heka 4, kipo bagamoyo kilomo kilometers sita kutoka barabara kuu ya bBgamoyo, upande wa kilomo shule ya msingi, ukienda Bagamoyo upande wa kushoto, uliza kilomo shule.
Bei ni...
Shamba linapatikana mkuranga mkoa wa pwani.
Kijiji kinaitwa BUNGO ( baada ya kutoka mkuranga mjini)
Shamba Lina jumla ya hekari 3
Umbali kutoka lami mpaka shamba lilipo ni meter 800-1km
Shamba...
Kiwanja kipo Nyanshishi Mwanza, mita 500 kutoka kituo cha daladala Nyanshishi zinazofanya safar ya kwenda maeneo mbalimbali ya kona ya jiji la Mwanza.
Kimeshapimwa na kinasubiri kutengenezewa...
kiwanja hiki ni kizuri kwa kujenga nyumba ya kuishi au ya kupanga maana ni KM 1 kutoka barabarani na panafikika kirahisi wakati wote
ukichimba maji yapo karibu
miundombinu ya umeme ipo jirani...
Habarini wanafamilia wenzangu wa Jamii forums, bila shaka ni wazima na mnaendelea vizuri na majukumu ya kulijenga Taifa letu.
Kama tangazo linavyojieleza hapo juu, nyumba ina jumla ya vyumba 3...
JE UNATAKA KUJENGA GHOROFA DODOMA?
[emoji3500]NUNUA KIWANJA SASA USISUBIRI BEI ZIWE KUBWA UJUTIE KAMA WANAVYOJUTIA WATU WALIOPAPUUZIA MASAKI AMA OYSTERBAY MIAKA IYO...
Ukubwa 720 m²
Bei - 6,000,000
Vibali : mkataba wa mauziano kutoka serikali ya mtaa.
Kipo karibu na zinapogeuzia daladala za stand kuu - Igawilo
Hakina mgogoro wowote, kipo eneo zuri la...
SITE INAUZWA
MAHALI: MSIGANI-MADALE, DAR ES SALAAM
KM 6 KUTOKA TEGETA KIBAONI
BEI 26M
Contact 0767175518
KUNA FRAME TATU ZA BIASHARA
PIA
SITE INA
vyumba vitatu viwili ni self contained
ukubwa...
Iko Mbeya, kyela, km 12 kuto kyela mjini kipo pembeni na beach ya mwamyange umeme upo, Kuna msingi wa mawe,kina ukubwa wa eka moja na zaidi kidogo(77x75)
Price: 55 mil negotiable
Lengo ni wewe upate kiwanja pengine mwisho wa mwaka huu uwe umeanza kujenga
kiwanja hiki ni kizuri kwa kujenga nyumba ya kuishi au ya kupanga maana ni karibu na na panafikika kirahisi wakati...
kiwanja eneo la kwa chikira
Ukubwa wa sqm 1,000 sawa na mita 20 upana na mita 50 urefu.
Eneo bado halijapimwa
unaweza kuligawa likatoa viwanja viwili vikubwa
Bei ni 12,800,000/=
umbali wa...
Kiwanja kiwanja kinauzwa nusu heka, ukita hatua unakatiwa kiasi kulingana na bajet yako tunakata kuanzia milion 5 kwendelea, nusu heka bei ni 18 kuna nyumba ndani haijaisha,Maeno ya Kigambo...
Eneo lenye ukubwa wa square meter 10,000 lipo karibu na ziwa yaani ukisimama kiwanjan una view eneo la ziwa kwa uzuri zaidi lina nyumba ndani yake kama tatu mawe ya kutosha kwa ujenzi na kwa kuuza...
kiwanja eneo la buyuni karibu kituo cha mafuta cha Sheratoni
Ukubwa wa sqm 1,000 sawa na mita 20 upana na mita 50 urefu.
Eneo bado halijapimwa
unaweza kuligawa likatoa viwanja viwili vikubwa
Bei...
Kiwanja kipo mwasonga madege km22,kutokea kibada.. its ugentry maji ya kisima baridi eneo linafaa kwa. Makazi,ufungaji wa kuku, mbuzi au kilimo cha mboga cha umwagiliaji kiasi ni upana 50 na...
kiwanja eneo la buyuni karibu na kituo cha mafuta cha Sheratoni
Ukubwa wa sqm 1,000 sawa na mita 20 upana na mita 50 urefu.
Eneo bado halijapimwa
Bei ni 12,800,000/=
ikiwa utapenda...
Habari..Tunauza viwanja viwili kwa ajili ya mahitaji ya ujenzi wa petrol station mali halisi ya familia yetu kwa bei nafuu sana..kimoja kipo singida road heka tatu kina hati bei ni mil 170. na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.