Plots Available For Sale.
Location: Kigamboni Dege, Amani Gomvu area.
Descriptions:
*Plots located 23km from ferry, 800m from main road.
*There are 10 plots in the area.
*Each plot has title...
Habari wana JF
Ninauza viwanja vilivyoko maeneo tofauti tofauti hapa Mwanza.Viwanja hivi ni yale yaliyokuwa mashamba,lakini baada ya mji kuendelea kukua sasa yalikatwa na yanaendelea kukatwa kwa...
Kituo kipo barabara ya Bagamoyo/Mlandizi, eneo tambarare kabisa, kina matanki 3 chini tayari na nyumba/ofisi tayari . Bei ni 150M . Hakuna kituo chochote karibu katika hii barabara na barabara...
Eneo linaukubwa wa 33,260sqm. Eneo lina hati ya mradi wa shule/taasisi. Kuna majengo ya madarasa ma4 na ofisi 4 na nyumba ya vyumba vitatu
Eneo lipo mtaa wa Pinda, Dodoma mjini.
Bei ni Tsh...
Nauza kiwanja.
Mahali: Chanika Lukooni nyuma ya stendi mpya inayojengwa ya Chanika. Kama unaelekea Mvuti unateremkia Videte.
Ukubwa: mita 12 kwa mita 18.
Bei: 7.5 m
Mawasiliano: +255788745213
Nauza kiwanja changu kilichopimwa kipo Kisemvule Njia PANDA ya KIBAMBA MSIKITINI
Eneo ni sqm 1700
Price; Million 6. Hakina udalali.
Huduma zote za kijamii zinapatikana.
Kwa mawasiliano; Njoo PM
#industrial
Plot number 729 Block 'A'
CBD ina sqm 8,912
Plot number 730 Block 'A'
CBD ina sqm 7,056
Jumla ya eneo lote sqm 15,968,
Located at Kibaha industrial area zone ,
Bei yake 1.2...
Kiwanja chenye ukubwa wa Ekari 4 Kinauzwa. Kiwanza Kipo Mbutu-Kichangani (Kigamboni).Kiwanja Kipo karibu na Shule ya St Lucas ( Barabara ya kutoka Mbutu Kichangani Kuelekea Amani Gomvu/ Avic Town...
Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta.
Mahali: Kimara Temboni.
Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale.
Ukubwa wa Eneo: SQM 308.
Bei...
Habari wakuu nauza kiwanja kipo tegeta. kimezungukwa na huduma zote za kijamii kama vile kituo cha polisi cha tegeta mita mia kutoka kituo hiko. pia kimetazamana na chuo cha MZUMBE na shule ya...
Habari za majukumu wapendwa
Nina eneo langu mwenyewe nahitaji mnunuzi lina heka 3 kwa bei 3.5m lipo njia ya morogoro kutokea bagamoyo kijiji cha mkenge mbele ya fukayosi
Eneo lina hati ya...
Habari wakuu nimerudi tena nauza viwanja vinne 4 eneo ni Nzuguni unapojengwa uwanja wa mpya wa mpira.kwa wale niliowai kuwauzia wanapajua vizuri Huduma zote zipo Umeme, maji , barabara lami...
Naomba wale woote mloomba niwape taarifa viwanja vya Manispaa Kibaha vikianza kuuzwa. Taarifa Rasmi vimetangazwa tu, na kuisha ,Viko kando ya hospitali ya Wilaya, Kama unatokea Mbezi ,Ukifika...
• Direction:
Kwa Komba. Mita 800 kutoka Morogoro Road
• Structures:
-Kwa nyuma kuna nyumba sefukontena ya vyumba 3 vya kulala
-Kwa mbele jengo lisilokamilika lenye master 4
• Facilities...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.