Habari,
Husika na kichwa cha habari,
Mitambo ya ujenzi kama excavators, faw tippers, wheelloaders, weighbridge, drill machine etc inauzwa. ipo Lugoba Tanzania.
Bei ipo kwenye picha
0658007766...
Kin'gamuzi Cha Startimes kinauzwa, kipo na antenna yake pamoja na waya wake, Bei TSH 40,000 napatikana Pugu Kigogo Fresh, DSM,
Mawasiliano 0625579184
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums...
Nauza Printer Epson L805 imetumika mwaka mmoja tu. Inaprint sticker na picture vizuri na haibaguwi karatasi. Pia inaprint CD. Printer hii haina tatizo lolote kabisa. Inapatikana Mwanza Nyamagana...
TVS 150
AMEMALIZA MKATABA KIJANA
ANATAKA KUIUZA
YUPO DODOMA MJINI
DOCUMENTS ZOTE ANAZO
BEI 1,500,000/=
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
banda kubwa zuri la bati linauzwa bei 280,000 tu maongezi kdg yapo halina tatizo lolote!lipo kigamboni linahamishika kama unalihitaj nipigie 0653110660
Goodmans HD Projector UK Brand
Model : 363566
Full HD Projector 1080p✅
2000 LUMEN Led ✅
Built in Speakers✅
2 HDMI input + VGA✅
USB (Flash pamoja na SD Card)✅
Bluetooth (Unaconnect kwenda...
Nauza subwoofer ya Gari. Imekuja na Gari. gari ina mziki mkubwa sana naiondoa.
inakuja pamoja na waya wake wa kufungia
Ina mziki mzuri sana. ukiwa na hii Huhitaji kujaza buti zima mamitungi...
KILIMO NI BIASHARA
POWER TILLER OR WALKING TRACTOR
BRAND SHAKTI MADE IN CHINA LAKINI IMEDIZIINIWA KWA SOKO LA INDIA .
Hii ni nzuri sana kwa kulima,kupalilia,kuengeneza matuta nk.ina matairi ya...
Simple design
(Ramani)
3 bedrooms
Kitchen
Store
Dining
Living room
toilet
Tofali 3300
Kiwanja kuanzia mita 18 kwa 20
Get the plan
+255678418272
Whatsapp
RE
Usajili namba C
Imetunzwa
Aliekua anaendesha ndie mmiliki
Ina miaka 2 na nusu toka ainunue
Anataka kubadili biashara
Chombo hakina tatizo lolote
Inapatikana dodoma mjini
Anauza million 3
Mpigie...
From China to Tanzania. Pata les wig kwa bei rahisi kabisa.
Hii elfu 30,000/= zimebaki Pisi 10.
Linaosheka na kusetika,Unaweza ukabadilisha na rangi pia.
Hii elfu 35,000/= zimebaki Pisi 8...
Habarini wakuu,
Poleni na majukumu yenu ya kila siku
Kama kichwa kinavojieleza tunauza sabuni za magadi za Kigoma kwa bei Ndogo kabisa ya Tsh 1,000 kwa mche.i 👇👇👇
Karibu tukuhudumie.
Maelezo: Shamba linauzwa Liko maeneo ya Lutukila,Madaba(Km 1 kutoka barabara ya Songea -Njombe)Ukubwa wa shamba eka 100; Mazao yaliyopo,korosho eka 20,mitiki eka 5,parachichi eka 3,Kuna bonde la...
Habari njema kwa wamiliki wa shule,vyuo, taasisi za tafiti, n.k
👉Tunauza apparatus aina zote ,chemicals, na vifaa vya maabara aina zote.
Kwa mashuleni,vyuoni na taasisi mbalimbali za elimu na...
NAUZA SPEAKER AINA YA SONY SS-LB 455
Hizi ni SPEAKER ORIGINAL USED zenye nguvu kwa Usikivu mzuri wa sauti na MDUNDO wa nguvu.
Zipo SPEAKER Mbili ambazo kila moja ndani ina Speaker Nne.
Ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.