vipo vingi sana ukivifata shambani mwenyewe bei inakuwa poa zaidi ushindwe wewe tu kutokana na uwingi wake pia shamba lipo Ruvuma-Tunduru usafiri unafikika uhakika.
0758978546 kwa mawasiliano
Habari wanajamvi
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka
Mimi ni mfugaji wa nguruwe napatikana maeneo ya Ntyuka Dodoma. Nauza dume kubwa kabisa kwa mahitaji ya kufuga au Kuchinja
Umri: mwaka...
Je unapenda gari lako kuwa na muonekano mzuri na wa kijanja unaonendana na wakati wa sasa ?
Kama ndivyo karibu ofisini kwetu tukutengenezee 3d plate kwa gharama nafuu
Tunayo software ni nzuri na inarahisisha uendeshaji wa shule kitaluma na kimahesabu, na inasaidia kuwapa jumbe mbali mbali wazazi kuhusu wanao .
Ninzuri sana maana inakusaidia kutopoteza muda pia...
Shamba heka 20 linauzwa Kikongo Mlandizi, ni sehemu nzuri sana kwa biashara na kilimo, eneo lina rotuba ya kutosha. Unaweza kulima mazao yote ya ukanda wa joto.
Pia unaweza kuwekeza katika miradi...
Habari zenu waheshimiwa?
Wasiliana nami nikutengenezee label (stika) za bidhaa zako kwa Tsh.25,000 tu! Utapata design nzuri na lebo 20 ambazo zimeshakatwa, wewe utabandika tu kwenye bidhaa zako...
Ufanisi Company imesajiliwa kwa namba 545528 shughuri zake ni Umaliziaji wa nyumba (Finishing) Utengenezaji wa Samani (Furniture) na kuhifadhi na kutunza mazingira.
Imekamilisha utengenezaji wa...
MKUU IMARISHA USALAMA WA MALI ZAKO KWA KUFUNGA MFUMO SALAMA NA IMARA USIOTEGEMEZI, KARIBU SANA TUKUHUDUMIE KWA HUDUMA BORA ZENYE GHARAMA NAFUU:
1: Electric Fence
Ni uzio unaopitisha mkondo wa...
Habari wakuu.
Ninauza Pumba laini ya mpunga kwaajili ya chakula cha kuku na mifugo mingine.
Pia, Pumba hii unaweza tumia kutengenezea gypsum.
Gunia la kilo 75 - 80 nauza kwa Tshs. 19,500/=...
Kwa mahitaji ya simu bora na kwa garama nafuu basi wasiliana na mimi kupitia namba 0763816065
Au fika dukani kwetu kariakoo aggrey opposite na kanisa la KKKT.
Simu zetu ni bora sana na zenye...
Kitanda
Godoro
Jiko la gesi na mtungi
Kiti Cha plastic
Vyombo
Neti
Mapazia
Kifaa Cha kuwekea vyombo
Mabesi mawili ya nguo
Jumla vyote = 400000tsh
Number:255 675 124 851
Habari
Kwa mmiliki wa suzuki carry, nahitaji kukodi kwa malipo ya mwezi au uniuzie kwa malipo ya kila mwezi..
Tutaandikishiana na dhamana zipo.
Kama unayo unaweza kunichek DM tukaelewana...
Habari wanajukwaa nauza perfume za kike na za kiume kwa bei ya 40,000 tu na ni brand ya kizawa kabisa
Inakaa muda mrefu na inaweza kusikika harufu yake kwa umbali mrefu,napatikana Dar es Salaam...
Karibuni pyramid works tuwafanyie metal works nzuri sana na zenye ubora wa hali ya juu.
Tuna design na kutengeneza wenyewe na mteja anapata kazi yake kwa wakati.
Tunapatikana Dar es salaam kwa...
Pata karatasi Mondi no 1 kwa shilingi 36,500/=
Bahasha za Manila A4 1000pc@ 66,000/=
Daftari pia zipo.
Vitu vyote vipo kwa bei nzuri sana
Namba zetu ni 0711972446
Karibuni sana
TUNAPATIKANA...