Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza Mastervolt Part no: 77031500 Type AC 1X6A Bei: 450,000/- Kwa kweli sijui Ina kazi gani sema imekuja na mzigo wa mtumba. Nim jaribu kucheki mtandaoni nijue Ina kazi gani ila bado sijajua.
0 Reactions
18 Replies
911 Views
Sandal nzuri kwa 18000 tu Napatikana mwanza mjini Karibu Sana kwa mawasiliano zaidi @0768480963
1 Reactions
152 Replies
18K Views
Nawaletea mzigo huu 250 XLR Honda, kwa Bei Kitonga alietayari na anicheki #0788507074
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Saa ni mpya kabisa Z51 smartwatch 8 Ina watch faces za apple watch series 8 Unapata na mikanda pair 2 Bei 45,000 Tshs Maongezi yapo Naomba radhi picha hazina ubora Tuwasiliane 0693010101 NB...
0 Reactions
4 Replies
685 Views
Habari zenu. Ninauza godoro bado jipya 100,000 4*6*8 Ninauza kitanda used 100,000 4*6*8 Kiti na meza 50,000
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nina mzigo wa hizi kitu nauza bei ya jumla, zipo 25 Kila moja inaenda 10,000...tu. Mzigo upo Dar es Salaam. Kama upo interested nicheki 0783350399.
0 Reactions
10 Replies
806 Views
Fryer nzuri na imara za gas pamoja na umeme, fryer za gas zina kibiriti chake Bei:double gas fryer 325,000Tsh Double electric fryer:220,000Tsh Single electric fryer:130,000Tsh Single gas...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Nauza mashine ya kusafishia carpet a.k.a Vacuum Cleaner. Mashine hii ni mpya kabisa na haijawahi kutumika hata mara moja. Bei: 250,000 Location: Arusha Mawasiliano: 0768444224
0 Reactions
2 Replies
1K Views
T-shirts/Shati/Jeans/Bukta Kali Sana Za Mtumba Grade One Hizi Ni Nguo Ambazo; 1. Hazichuji rangi 2. Hazipauki haraka 3. Zinadumu kwa muda mrefu 4. Huwezi ukaivaa alafu ukapita mtaani ukakuta kuna...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Mashine inapatikana Tegeta nyuki-Dar esSalaam Inatumia umeme. Iko safi Kama uonavyo kwenye picha. Bei ; 300,000/= Mawasiliano: 0743534388
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wadau kutokana na mgao wa umeme unaoendelea hapa nchini usikubali biashara zako zisimame tunazo standby power diesel generator kwa affordable price kuanzia Kva 10 na kuendelea.PERKINS...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bado ni mpya nimenunuliwa zawadi, lakini mie sina matumizi nayo, thamani yake ni 370,000 ila mimi mtu akinipa 250000 namwachia. Karibu pm.
0 Reactions
2 Replies
529 Views
Android car radio tshs. 200,000/ fixed 📞 0785335350
0 Reactions
2 Replies
675 Views
Off
0 Reactions
1 Replies
527 Views
What's good? Nauza gaming desk ikiwa brand new in the box imported from UK. Maelezo yake haya hapa. Ingiza hizi codes Google uione meza yenyewe 836-205RD HOMCOM HOMCOM Gaming Desk Steel Frame w/...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wakuu,ukurasa huu nitaweka bidhaa mbalimbali ninazoziuza sana sana za cake na vyombo vya jikoni. Mawasiliano yangu ni 0746685756 Nita update kila mara vinapoingia. Tunafanya delivery na...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Je, Umeshabadilisha Muonekano wa Nyumba Yako [emoji3060] Kama Jibu ni Bado Karibu Wallpanel Decor Tukubadilishie Muonekano wa Nyumba Ofisi Frame n.k [emoji94][emoji16] Tunaweka Wallpanel design🫣...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ewe Mzazi Baskeli za watoto zipo sokoni changamkia fursa Condition: New&Used Colour: Blue&pink Training wheels Bell Basket Water bottle Price: 150,000/= Tunapatikana Tabata Dar es salaam...
1 Reactions
10 Replies
753 Views
Kampuni ya HARD DISK ni SEAGATE, Size: 8TB Price: 250,000 Contacts: kwa muhitaji tuchekiane PM Location: DAR - M/CITY HARD DISK lazima utest ujiridhishe na size ya DISK ndipo utoe pesa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom