Habari ndugu zangu.
Nadhani kila mmoja wetu yupo hai kwa anae soma hapa.
Kama kawaida mr .waziri nazidi kuwarahisishia wateja wangu kupata mzigo wa dagaa kutoka ziwa victoria kwa wale waliopo...
M-Gas ni kampuni inayoungwa mkono kimataifa. Tuna bohari zetu, mitungi ya gesi na magari ili kukuhakikishia kuwa unapata gesi (LPG)bora ya kupikia na huduma bora zaidi wakati wote.
M-Gas inatumia...
Wanajamvi natumai mko salama.kama nilivyodokeza hapo juu.
Nahitaji mtu wa saloon,awe wa kike au wa kiume,kikubwa awe anajua kazi zote za saloon kama
Kuosha wateja
Kuweka Dawa
Kusuka Misuko Tofauti...
Tv ipo dar es salaam location za mansese, tv ni mpya kabisa lakini imekufa kioo tu. Kwa iyo nauza hivyo hivyo ilivyo. Naposema nauza tv iliyokufa kioo sio wote watanielewa! Taarifa hii inawahusu...
Habari wanajami, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida.
Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au...
Habari ndugu?
Nina mchele Kigoma Malagarasi(Musoma) nahitaji namba za dereva muaminifu anibebee kuja Morogoro. Zipo gunia 8 za kilo 100.
Karibu Pm.
NITALIPIA
Wakuu, naomba kwa mwenye connection ya wamiliki au wafanyakazi katika maduka ya Jumla ya Mtaa wa Liberty au popote jijini Mwanza anisaidie.
Lengo kuu nataka kufanya nao mawasiliano wanipe...
Natafuta connection ya wateja wa bata bukini, bata mzinga, kuku na kanga wa aina yoyote kwa jumla mwenye kujua soko au mahotelin anipe direction tufanye biashara pacent yake itakuwepo Wana jamii...
S 300 smartwatch
💶90000 tsh
⌚️Mikanda 7
⌚️Earpods
⌚️Protector
⌚️Unaweza kupiga n kupokea simu
⌚️Unaconnect kwa bluetooth
⌚️Inakuja complete n manual n charger
🏃🏽♀️Inafaa kwa mazoezi
📱unapokea...
Habari ya wakati huu ndugu zangu, je wewe ni mhitaji wa gari ya kutumia, au una gari na unauza ila hujui uipeleke wapi ili iweze kuuzwa kwa wakati? Basi usihofu Kampuni ya Joex Motors (T) Limited...
Ukiachana na kukupa huduma za Engine Services, Diagnostics na Repairs za matatizo mbalimbali ya magari hasa yanayowasha warning lights.
Tunayo pia huduma ya kukuagizia spare parts kwa bei ambayo...
Viatu vya aina zote karibu uchague unachokipenda then ntakufikishia popote ulipo ndani ya Dar es salaam kwa garama zangu mwenyewe.
Kwa walio Dar es salaam nakuletea free na mikoani unatumiwa kwa...
Kwa anayehitaji Midoli ya Kuuzia Mawigi tuwasiliane. Ipo zaidi ya 20. Nauza sababu nimebadilisha biashara.
Nipo Goba Dar-es-salaam.
0713794962
bei ni 9000tsh kila mmoja