Biashara ya kununua na kuuza viwanja ni moja ya shughuli za kiuchumi zinazovutia watu wengi kutokana na faida zake kubwa. Hata hivyo, kuingia kwenye biashara hii kunahitaji mtaji wa kutosha na...
OFA! OFA! OFA! Karibu ujipatie hii set ya dining table na viti 6
Material: hardwood mninga
Finishing kali sana, very quality
Ipo tayar karibu kukagua na kulipia✅
💰1,600,000/-
📍Kijitonyama...
Wakuu habar, kama kuna kijana anataka kufanya biashara ya viatu vya kike vya spesho,basi namkaribisha sana kwenye tasnia hii,niauzoefu wa kutosha, Najua changamoto zake, aina gani ya viatu...
Utangulizi.
Ukuaji wa wakazi ni kipengele muhimu kinachoathiri maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya eneo lolote. Mbali na kuathiri miundombinu, huduma za kijamii, na soko la ajira, ukuaji wa...
Chumba Masta Sebule na Jiko.
Kodi - Tsh 250,000
Eneo - Mbezi Beach Juu, Goba road.
Ndani ya fensi parking ipo.
Maji ndani.
Umbali wa kutembea.
Umeme submita yake.
Maelezo zaidi: 0679268006
Kiwanja kinauzwa chanika Nguvu kazi kipo mita 900 toka barabara ya ram.kuna umeme .barabara ipo mpaka kwenye kiwanja .Ni eneo Endelevu,Tambarare.ujenzi ni rahis sana mchaka unapata hapo hapo...
Habari wana Jamii Forums,
Nahitaji mlango wa chooni wa PVC ambao ni used kuna mtu anauhitaji haraka sana, kama unao tafadhali ni PM tufanye Biashara, mfano Wake Kama Huo.
HII NYUMBA TULIDESIGN WENYEWE JAPO MTEJA ALIANZA UJENZI NA MTU MWINGINE THEN SISI TUKAANZA KUREKEBISHA
1. TULIREKEBISHA MSINGI MAANA ULIKUWA MFUPI SANA NA MKANDA ULIKUWA MDOGO MNO (REJ PICHA NO...
Habari, mwezi ujao naenda kupata milioni 30. Vijana wenzangu naombeni ushauri ili nisije kujuta baadae maana hela sasa hivi sina. Na hiyo hela sidhani kama nitaipata tena kama.
Naombeni ushauri...
Naomba kuuliza eti kuna kampuni inayojihusisha na kununua nyumba au viwanja. Kwamba ukifika pale wanatathmini nyumba yako bila ya kwenda kuiona wanaweza wakasema nyumba yako ina thamani ya milioni...
Habari! Tunatengeneza na kuuza furniture mbalimbali za majumbani, ofisini na hoteli. Tunazingatia ubora na finishing nzuri. Karibuni sana.
Call/ whatsapp 0628490035
NYUMBA INAUZWA (LODGE)
Loc: Kitunda Matembele ya Kwanza(DSM)
Bei/Price: Millioni 95,000,000/=TZS (Maongezi Yapo)
Nyumba Ina Vyumba vitano Vyote Master, na chumba cha nje cha mfanyakazi, public...