Habari zenu wakuu,
Ninahitaji used Tv inchi 42 kampuni yoyote lakini iwe bei poa na isiwe mbovu. Mwenye nayo au anaefahamu ni wapi naweza ipata tafadhali aweke details hapa.
KARIBU TANZANIA EDUCATIONAL PUBLISHERS LTD (TEPU), UJIPATIE VITABU MBALIMBALI VYA KILIMO NA UFUGAJI,HAKI NA SHERIA ZA WANANCHI,AFYA,VITABU VYA WATOTO,HADITHI/RIWAYA,SIASA NA MAENDELEO. N.K, KWA...
Habari wakuu. Nauza Samsung notebook pamoja na external aina ya transcend original(serial zimekuwa verified) hard disk terabyte 1 kwa laki 330. Specifications zake kwa haraka haraka hizi 4 GB RAM...
Fremu yabiashara inapangishwa ipo barabara ya Changombe jirani na njia panda ya kwendatcc club. Jirani na maduka mawili inatazamabarabara kubwa ya Changombe, Temeke.Ina floortiles nzuri na mlango...
fremu yabiashara inapangishwa ipo barabara ya changombe jirani na njia panda ya kwendatcc club. Jirani na maduka mawili.
inatazamabarabara kubwa ya changombe, temeke.
ina floortiles nzuri na...
Habari zenu?
Kuna nyumba mbili za kisasa zinapangishwa.
NYUMBA YA KWANZA:
Ina sebule moja kubwa
Dining area
Jiko kubwa
Vyumba vitatu vya kulala vyote ni self contained rooms(master bedroom ni...
TOYOTA RAUM MODEL CBA NCZ20 STATION WAGON WHITE COLOUR ENGINE 1NZB249530.CC 1490.YEAR MANUFACTURE 2004.FIRST REGISTRATION 2003 IMPORTED FROM JAPAN
Km 60,000
Bei 8.5m
0717 022737
Habarini wandugu,kiwanja kipo mbeya,jirani na chuo cha MUST,kinafaa kwa hostel au makazi,maji na umeme vipo,gari hadi site linaingia,Ukubwa ni 20/30,bei ni 7,000,000/_, call 0717396677, sihitaji...
Ni compaq
Microsoft window XP professional
Version 2002
Intel celeron processor 564 HMz
264 MB of RAM
Hard disc 20 GB
Cd room vcd
Bei tsh 95,000/= tu
Elfu tisini na tano tu
Call 0713943432...
Je unapata kero ya upele na muwasho kidevuni baada ya kunyoa ndevu?!
Mume wako, rafik, kaka analalamika juu ya hili tatzo?!
Karibu ujipatie Gentleman's pride itakayo muodolea hii kero...