Habari nauza tractors Aina Massey Ferguson zote toka Canada. Aina MF 280, MF 135, MF 380 Jumla zipo km 10. Zote zipo Tabata barakuda. Bei zake ni poa sana. 0768939433.
Kwa mawasiliano zaidi.
Nahitaji flame ya biashara jaman kwa wakazi wa himo tuwasiliane, biashara yenyewe ita depend na eneo ilopo flame husika.
Mwenye uwezo wa kunisaidia ani-PM AU
0715330524
Nna iPhone 6 na 6+ copy grade one zina megapixels 8. Na internal 16GB android version 4.4.4. Price iphone6=350,000 na iphone6+=400,000 ni mpyaaa full box na hata kama upo mkoani Mali unatumiwa...
Inahitajika rav4 ya milango mitatu, namba yoyote hata iwe A, gari iwe nzima haijachezewa engen...kama unayo tuwasiliane
0715591141, bei ya kununua ni 5 milion.
Gari iwe dar
Kwa wadau waliopo Mtwara ninauza mashine 2 za kuoshea magari zinazotumia petrol, zimefanya kazi kwa miezi mitatu 3, kwa anayehitaji anipigie 0787 092 186. Bei ni 600,000/= kwa mashine moja.