Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

mbwa mkali, bei 600,000/= tupo dodoma 0655 362651
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu ninauza Nokia Lumia 630 kwa 180K. Bd ina warrant... Almost ni mpya. Ina kila kitu chake. Sababu ya kuiuza ni kwa kuwa nimepata simu nyingine. Kwa mawasiliano zaidi 0689 309 344. Ila mtaniwia...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Android phone . Haina tatizo lolote . Android phone + window os . Workperfect.
0 Reactions
2 Replies
805 Views
tunauza fresh apples(true cape) kwa bei ya jumla,zipo box pack size 90,100 na 110..tupo mwenge mkabala na efatha bank,dar es salaam ; tunapokea order za mikoani contact:0717 163106,0756...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Taasisi ya Tanzania Global Learning agency (TAGLA) wataendesha course ya data analysis, Monitoring and Evaluation (M&E) huko Arusha, Tanzania kuanzia tarehe 23-28,November 2015. Katika kozi hii...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini washika dau? Ebana mimi ni mjasilia mali mwenye aidia ya kuuza t-shirt zenye nembo/maneno tofauti tofauti. Natafuta mshirika ambae anaprintigi hizi mambo either kwenye ofisi yake au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Inahitajika pilipili manga kama tonne tatu wakuu kwa yeyote anayejua sehemu/mahali zinapopatikana kwa wingi naomba msaada tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama una harusi unataka mziki, DJ,mc Wasiliana na mimi nina(full music) tunakodisha, kwa garama ya 700000/ Hapo ina jumuiya mc, DJ, garama ya mziki, usafiri Kwa mawasiliano zaidi 0715591141...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Habari wana Jamvi. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Napatikana Kibaha, Pwani. Kama unazo, please, ni PM mawasiliano yako. Ahsante.
0 Reactions
1 Replies
951 Views
Wadau nauza TV Samsung inch 32. Niko daslam if interested nicheki kwa 0769630209. Bei ni 550 imetumika for 5 months bado ina warranty ya mwaka mzima.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza mkaa kwa bei ya jumla, mkaa una ujazo wa mbavu mbili, mkaa unatokea kusini bei kwa gunia ni 45,000. Kwa atakayenunua kuanzia gunia tano ataletewa mpaka alipo, kwa anaehitaji anaweza nipata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta Kioo (Display) ya Samsung Note III Original (O.G) Kwa aliyepo Dar mwenye nacho anicheki +255657649475
0 Reactions
0 Replies
1K Views
*TV ya Sony Bravia inauzwa *Ni TV ya inch 32 *Bado ipo kwenye Warranty ya miaka miwili *Ina Box lake pamoja na risiti zake *Haina scratch/mikwaruzo ya aina yoyote ile *Haina tatizo lolote lile...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Plot inapatikana maeneo ya Kibaha kwa mathias ni nzuri kwa ajili ya uwekezaji wa aina yeyote ile lipo barabarani, lipo karibu na jeshi la nyumbu,lipo kwa ajili ya kupangishwa na sio kuuzwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Habari wana jf...yeyote anaejua sehemu yenye chumba maeneo ya hapo chuoni mbezi naomba msahada wake tafadhali kwenye namba 0713589112.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza kifaa tajwa hapo juu. Hali-used katka ubora wa hali ya juu Bei-250,000 contacts-=0684264362 Npo morogoro mjin
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Pata Shuka moja, duvetcover 1 na foronya 4 kwa rejareja 50000 jumla 45000 kuanzia 5. Ni pure cotton, size 6?6 Ukihitaji nicheck 0629586817
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Canon copier desk top iko katika hali nzuri inauzwa bei tsh laki nane .Maongezi yapo piga simu 0712652110 Dar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu sehemu gani dar naweza nikapata nguo nzuri za kupendeza kwa mvulana za kutosha kuanzia t-shts,shrts,trousers,pens na viatu especially viwalo vya mtumba kwa bajeti ya laki 2?
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…