Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama inavyojieleza hapo juu.... Nyumba ipo maeneo ya kariakoo mtaa wa magila karibu Emelly hotel.... Inafaa kwa ujenzi wa hotel na fremu za maduka!!! Bei ni 1.1b mazungumzo yapo!!!! Namba ya...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Ipo maeneo ya luhanga mkabala na shule ya kawawa..... Eneo lifaa kwa ujenzi wa guest house, bar ,lodge au nyumba kubwa zaidi ya kupangisha!!!!! Ni nyumba yenye eneo kubwa!!!! Na gari linafika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini za asubuh wadau, kuna nyuma inauzwa kigambon kata ya mji mwema eneo la kibugumo. Ni nyumba ambayo ipo ktika hatua za mwisho kumalizika. Kuna mambo ya yametokea kunahitajika pesa ya haraka...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
:p:p:p:(:(:mad::cool::cool::cool::p:cool::mad::(:(
1 Reactions
46 Replies
5K Views
DoviIlen Property DoviIlen Property
0 Reactions
0 Replies
461 Views
Ipo Mafulala Sumbawanga-Rukwa Haijaisha bado Bei 7ml Wasiliana na ILS(T)LTD
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Kwa yeyote anayehitaji sebule na chumba self maeneo ya tabata segerea just inbox me... Kodi ni 100,000/= unalipa miezi sita.. No dalali nakupeleka kwa mwenye nyumba mkamalizane... Patakua wazi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Semi finished iko muembe mdogo, Kigamboni Dsm....in vyumba 3 kati ya hivyo 2 ni self contained, jiko na stoo yake,sebule na dinning room pamoja na public toilet. Imeshawekwa grills madirisha yote...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nyumba ya vyumba vitatu, a) Master bedroom na viwili vya kawaida. b) Sitting Room na dinning room. c) Ina choo cha ndanibkwa ajili ya hizo room mbili kukiwa na corridor moja. d) Ukubwa wa eneo...
0 Reactions
8 Replies
999 Views
Nyumba inauzwa ipo mbagala sabasaba kwa mpili bei in sh Million 12 maongezi yapo karibuni sana.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari. Nyumba inapatikana Mikwambe-Kigamboni DSM, karibu na site ya mh. Ndugai (kitu maarufu). Eneo limepimwa na ina hati tayari. ina eneo la skwea mita 801, Nyumba ina vyumba viwili na master...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
0 Reactions
0 Replies
611 Views
0 Reactions
0 Replies
535 Views
Eneo SQM 575 linauzwa Kata ya Miburani, mtaa wa keko machungwa (lina nyumba), panafaa kwa makazi gari inafika mpaka mlangoni, document yake ipo bei ni mil 75 maongezi yapo Kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Tuna design matangazo kwa bei poa mnoo yaani shilling elfu mbili tu kwa kila tangazo wahi sasa ofa hii ni chache yaani elfu mbili yako tu jipatie tangazo lako kwa biashara yako piga number 0743401394
1 Reactions
2 Replies
958 Views
Liko Mbezi Beach-Jogoo ( mita 700 kutoka barabara kubwa). Vyumba vitano vya kulala ikiwemo master bed room na baby room,sebule,dining,jiko na store Nyumba ina nyaraka zote muhimu Bei ni...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Nyumba ya kisasa inauzwa ipo chanika buyuni ina vyumba vitatu vitatu viwili self contained na kingine cha kawaida pia nje ina servant quarter nayo ni self contained kiwanja kina hati ,fance gate...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Ina vumba 3,vya kulala Dining table ,sebule,jiko,,public toilet. Sm.0752141957
0 Reactions
30 Replies
6K Views
>wilaya ya ilemela,kata kitangiri,mtaa wa Jiwe Kuu >Hati IPO >Ni master room na Dining >Bei 9m >Bei ni maelewano >nicheck PM
1 Reactions
106 Replies
14K Views
Habari zenu wanajamvi, Nauza nyumba yangu mwenyewe sio dalali, ipo wilayani Maswa mkoani Shinyanga mtaa wa Dodoma, kama upo serious nichek tufanye biashara, bei ni maelewano, ndani ya eneo la...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom