Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa mfugaji wa kuku wa kienyeji aliyepo songea mjini nahitaji kununua tetea 80 na jogoo 8 kwa ajili ya kuwafuga, kama unao tafadhali wasiliana nami tufanye biashara hata kama unao chini ya hao...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Mashinine mpya yenye pressure kubwa ya kuoshea magari kwa bei chee. Inatumia petrol. Inaitwa JD.Bei ni Tsh.750,000/ kubwa na ndogo, Tsh.550,000/ Kwa mawasiliano piga 0773 944 944
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu mezani kwangu hapa kuna tablet (used) ni Samsung tab2, 10.1 version Silver in colour, Internal storage ni 16Gb pia ina memory card ya 14Gb( utapewa free) Inapiga na kupokea simu bado ina...
1 Reactions
2 Replies
965 Views
Simu ina 4G ina camera 8mp 2mp 2gb ram 16gb na haina shida yoyote kwa 140000
0 Reactions
5 Replies
940 Views
Wakuu hodi ijumaa ya leo....leo nina vifaa vya aina Tatu yaani 1. Tv chogo kampuni ya Goodmans 2. Dinner set 3. Tablet Samsung 10.1(used yenye hali nzuri bado) _Ina piga simu(ina sehemu ya...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Nimenunua vitu vingine so hivi nauza kwa anayehitaji tuwasiliane simu No. 0718 295 182 mahali: kigamboni(Dar) Flat Screen 23'' + king'amuzi Tsh. Laki 3 Godoro 10 inch (5*6) Tsh. Laki 2 kitanda...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu,natafuta fundi sim,nimuuzie sim yangu iphone 5s, Simu inatatizo kidogo ambalo fundi ataweza kulirekebisha. Niko dar,kwa mawasiliano tuwasiliane pm tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Game mpya inahitaji laki tatu. 0714363793 biashra
0 Reactions
3 Replies
782 Views
Habari za Leo!, One Realtor Co. ni kampuni inayotoa huduma zinazohusiana na mali zisizohamishika (Real Estate) Jijini Dar es Salaam na mikoa Jirani. Tunapenda Kukutaarifu kwamba, kutokana na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiwanja kipo kinyerezi mita 20 kutoka barabara ya lami inayoelekea ktk mitambo ya umeme wa gesi. Ukubwa wake ni m40 kwa 35. Bei Tshs mil 25 na mazungumzo yapo. Simu 0715/0754/0783 472414
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Kinyerezi Kibaga ukubwa wa 35m kwa 45m kipo kando ya barabara ya lami kuekuelekea mitambo ya gesi mita 20. Bei tsh mil 25 mazungumzo yapo. Piga simu 0754/0715 472414
0 Reactions
9 Replies
2K Views
SHAMBA NA NYUMBA INAUZWA 0767 966 955 ENEO: Kimara baruti njia ya msikitini kutazamana na bahama mama petrol station Ukubwa: eka 2 Nyumba vyumba 4 tu. anaweza ishi mlinzi vyumba 2 vinabaki...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Viwanja vinauzwa kiluvya (vimepimwa) Bei kwa kila square mita ni 8000 Tshs Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0712252525
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Inahitajika laptop ya aina na ukubwa wowote but iwe katika hali nzuri kidogo Bei - Tsh. 200000 Kwa mawasiliano nicheki 0656801229
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Simu tajwa inauzwa Tshs 300,000/= tu. Iko ktk hali nzuri, 16 gb internal memory, na haina tatizo lolote. Ina screen protector ya kioo, back cover na charger. Nipo Dsm. Kama ungependa kuwa nayo...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Kutoka kwa lemutuz blog HIKI HAPA UNACHOHITAJI KUFAHAMU KUANZIA TECNO PHANTOM A+ MPAKA PHANTOM 6 ~ Blogu ya Wananchi Tangu uzinduzi wa toleo la kwanza kabisa la TECNO Phantom, toleo hilo limepata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau Kwa wenye migahawa & hotel, tunauza Sato waliokaangwa toka Mwanza.Samaki wetu wanakaangwa kulekule mda mfupi baada ya kuvuliwa hivyo wanabaki na radha yake ileile tofauti na hawa...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
UPDATED: Kama unahitaji Spea zozote za kumpyuta kama display za laptop size zote (10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri zake na spea...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…