Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wana JF, Nauza nyumba yangu iko Kivule kwa wamakonde kwenye kiwanja cha s.meter 500, haijaisha ila tayari ishapauliwa na mabati ya msauzi. Kwa walio serious karibuni..22mil Mawasiliano...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habariniwakuu na pia napenda kuwapa pole na majukumu ya ya Kila siku husika na mada tajwa happy juu kuwa nyumba inauzwa 10ml. Ipo pugu kimyamwezi umeme upo pia Hadi bomba la maji lipo Kwa...
1 Reactions
3 Replies
703 Views
• Mahali: Ilala Bungoni • Ukubwa kiwanja: 73 kwa 70 • Nyaraka: Hati • Bei: TZS 220,000,000 Kwa mawasiliano #0759609942
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa Mbeya Mjini, nyuma ya pm hotel, karibu kabisa na stand ya nanenane, mita mia toka rami inayotoka nanenane kwenda ilomba, piga simu 0744757738
1 Reactions
33 Replies
3K Views
NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA DSM-MADALE MWISHO $21,000 (48,000,000) Karibu wadau "Hii ni nyumba mpya kama inavyoonekana kwenye picha Ipo Dar es salaam - Madale mwisho..barabara ya kuelekea...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nyumba inauzwa Mbeya mjini, karibu na stand kuu ya Nanenane, nyuma ya hotel ya PM luxury hotel, kwenye eneo kuna nyumbaa kubwa moja, nyumba ya vyumba vitatu na nyumba ya vyumba viwili na parking...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba imeishia usawa wa lenta, Ni ya vyumba 2 kimoja self, sebule kubwa na pia ina choo cha Public inauzwa kiasi cha Mil 9.5. Ipo kwenye eneo lenye ukubwa wa 20×20. Pia shimo la karo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
INAUZWA NYUMBA IPO GOBA SHELI YA ENGINE KUTOKA BARABARA YA GOBA ADI KWENYE NYUMBA MITA150[emoji118] _____ MILIONI 160 MAONGEZI [emoji118] ________×________________ &SPECIFICATION ZAKE[emoji116]&...
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Asalaam alaikum, Napenda kuwatangazia kua nina nyumba nauza kigamboni mikwambe yenye sifa zifuatazo . Nyumba ipo kigamboni Mikwambe . Nyumba ya pili toka barabara kuu ya lami ya kigamboni ...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
. "NYUMBA ZINAUZWA TABATA KINYEREZI STAND MPYA" Location: Kinyerezi Mwisho Stand Mpya Area: SQM 2665 Umiliki: Sale Agreement Bei: 250 Milioni Contact: 0754 618 903/0692177791 Both Whatsapp And...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
"NYUMBA ZINAUZWA TABATA KINYEREZI STAND MPYA" Location: Kinyerezi Mwisho Stand Mpya Area: SQM 2665 Umiliki: Sale Agreement Bei: 250 Milioni Contact: 0754 618 903/0692177791 Both Whatsapp And Calls...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pagala linauzwa Kibaha Kwa Mathias, Nyumba ina; Vyumba 3 (kimoja master) Sebule kubwa Jiko Stoo Public toilet Umeme uko pembeni ya kiwanja Maji Yako jirani Kutoka kituoni nauli ya boda ni...
0 Reactions
1 Replies
591 Views
Habari, Nauza nyumba maeneo ya tua ngoma Sifa za nyumba. Inavyumba vitatu 3, kimoja master Seble/stoo na jiko Ina choo cha ndani na nje Nyumba ina fensi na huduma zote muhimu zipo kama...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Dalali_wa_ kuuza_ nyumba. NYUMBA_INAUZWA Chanika_Lubakaya _____________________________ NYUMBA INAVYUMBA VINNE VYA KULALA NA CHUMBA KIMOJA NI MASTER BEDROOM _____________________________ #...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa kibaha mailimoja karibu na kwa mkuu wa mkoa nyumba ina hati ina ukubwa wa eneo la 400 sqmtrs (20×20) bei 35,000,000/= (milioni 35) mazungumzo yapo haina udalali mimi ndio mmiliki...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari, Nauza nyumba yangu ipo maeneo ya Kivule kwa wamakonde 25mil, haijaisha...Imeezekwa na mabati ya msauzi..Kiwanja ni cha kuandikishana serikali za mitaa hakina hati, kina ukubwa wa sq 500...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, nyumba nzuri sana na kiwanja ni kikubwa inauzwa Kiwanja kina 2095m² na kina hati (yaani ukubwa wa eneo ni skwea mita elfu mbili na tisini na tano) BEI: Tshs. 250,000,000 (milioni mia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ipo kisemvule dk 5 kutoka stend kuu ina vyumba 3 na sebule unalipia na kuamia share tangazo fanikisha 1ml utatoka kwa atakae fanikisha ili documents zote zipo 0683715151 Sent from my SM-G965U...
0 Reactions
1 Replies
685 Views
Kwa UNYENYEKEVU mkubwa nawahabarisha kwamba Hostel Vyumba 14 inapangishwa/kuuzwa Eneo Malimbe: Mwanza Chuo Cha SAUT Bei: Milioni 6 tshs kwa mwaka Kupangishwa / Milioni 180 tshs kuuza (mauzo...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Nyumba hii Ina vyumba nane, fremu mbili za kufanyia biashara, jumla ya vyumba kumi. Ina umeme tayari, ina milango mizuri ya magliri madirisha aluminum Gypsum tailizi, iko eneo zuri Sana. Nyumba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom