Laptop aina ya HP inauzwa ipo kwenye hali nzuri haina tatizo lolote lile. Specs
HDD: 1TB
PROC: Corei3
RAM:4GB
Bei: 800,000/=
Maongezi yapo.
Ipo Dar Msasani. Kwa anaehitaji anicheki whatsaap kwa...
Lenovo X 130 Hdd 320gb, ram 4gb, battery 3 hours, price: tzs 350,000 ya wiki hii kabla ya wikiend. Tuko Kariakoo jirani na China plaza
piga 0713039875 kuwahi ofa hii
Desktop inauzwa Moshi mjini.
Imetumika mwaka mmoja tu
Cpu yake (Type) ni Packard Bell
Ram 4GB
HDD Ni 500 GB
Processor Type ni AMD 1.4GHZ
Bei 300K Full set.
Haina tatizo haijawahi kufunguliwa...
Habari wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa na familia zenu kwa pamoja iitikieni salamu😁
Nahitaji laptop(acer,hp,lenovo na asus) used na iwe kwenye condition nzuri iwe na sifa zifuatazo
1...
Nauza PC Hp imenunuliwa mwaka 2019
Ram 4 GB , Processor Intel core (Tm i5-421ou CPU @ 1/70 GHz
ROM 500GB
Ina matatizo ya betr ila ukitaka na betr yake mbovu bei ni 300,000 ila ukitaka pia...
bei 350k imepungua to 300k
location mwenge mpakani 0787202143
used Dell latitude e6430 nzuri for gaming and graphic
processor :intel Core i7-3520qm clock speed 2.6 GHz and 3.6 GHz with turbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.