WEKA TILES KISASA NA KWA UBORA WA HALI YA JUU!
Tunatoa huduma za kuweka tiles za kisasa kwa nyumba, ofisi, migahawa na maeneo mengine yote.
Tuna uzoefu, kasi, na tunazingatia ubora!
Bei ni rafiki...
Habari wadau.
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni.
Nyumba isiwe mbali na barabara ya lami inayotoka ferry , maji yawepo , tiles na aluminium muhimu pamoja na gypsum, bila kusahau...
Plot Available For Sale.
Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road.
Descriptions:
*12km from main road (Kibada road), 2km from Mwasonga road.
*It's near to box factory and Dar es Salaam zoo...
DUKA LA VIFAA VYA ELECTRONICS LINAUZWA KAHAMA.
LINA TV, SOUNDBAR,SABUFA, PRESSURE COOKER, RICE COOKER BLENDER,HITA ZA KUCHEMSHIA MAJI PAMOJA NA PASI.
LIKO SEHEMU YENYE MZUNGUKO WA BIASHARA, KODI...
Nyumba inauzwa eneo la Kigobedi, Mwasonga, Kigamboni.
Ukubwa wa eneo: 580Sqm
3 rooms zote master
Sitting room
Dining room
Kitchen
Store
Umeme upo kijiji cha jirani kama 500m
Nyumba ni mpya...
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji feni aina ya LOFIDA mfanano kama hio pichani.
Kwa mwenyenayo naomba tuweze zungumza na kuelewana. Mimi nipo Buguruni, Dar es salaam.
Kiwanja Kinauzwa, kimezungushiwa uzio na kipo kwenye kona (Corner plot).
Mahali: Kigamboni Tuangoma, karibu na nyumba ya Mkuu wa Wilaya.
Kipo km 1 kutoka barabara ya kuelekea Tuangoma.
Ukubwa wa...
Je una butcher la samaki wa maji chumvi(samaki kutoka baharini),tunauza samaki kwa bei ya jumla bei zetu ni nafuu na unalipia pale unapopokea mzigo,mzigo wetu unaipokelea mbagara zakhem, tafadhari...