Phone4Sale Ifree Market, wauzaji wa simu za iPhone. Zero kilometer

Ramos Gerald

Member
May 30, 2017
44
44
IPhone xs max GB64 Tsh 2,200,000
IPhone xs max GB256 Tsh 2,400,000
IPhone 11 GB64 Tsh 2,600,000
Iphone 11 GB256 Tsh 2,800,000
IPhone 11pro GB64 Tsh 2,800,000
IPhone 11pro 256 Tsh 3,200,000
IPhone 11pro max GB64 Tsh 3,400,000
IPhone 11pro max GB256 Tsh 3,700,000

Simu zetu zina warrant miezi 3.
Location: Makumbusho Bus Stand.

DM for credit

Repair iPhone

"Top up" exchange allowed only iPhone.
Tunatoa "icloud"

Check us on Whatsup +255742579392View attachment 1454628

IMG_20200518_144842_190.jpg
IMG_20200517_183346_146.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye kutoa I cloud hapo
Ntakuletea iPhone ina I cloud unitolee
 
Kauli mbovu ni mwanzo wa kufeli biashara.
Mteja gsni atatamani kuja kununua kwa watukanaji?
Mngeweza kukosoana kistaarabu.
Mmoja wenu ninamfahsmu ni mtata sana.
Kifo cha biashara huanza taratibu kama cancer, mwishowe wateja watakupatia jina baya hatimaye biashara kufa.
Jifunzeni mbinu bora za kibiashara...mtatoboa
Tako wew watu tunatafuta hela unakuja k comment upuuzi nicheck nikuoneshe wanatoaje lock 0716372025

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo umeamka n mim nin? Chief mpaka wew tunakutoa lock..

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta sehemu simu zangu zimezima?? Mtoto mpuuzi sana acha utapeli wa kusema unatoa iCloud mbute wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
iphone mpya zero kilometer..warrant ni miezi.3???.kwa bei hizo hizo ulizotaja??.
Hapo kuna kuna kitu hakijaelezwa, nadhani hizo hazikuwa designed california na kupelekwa China for assembly bali kila kitu ni Wuhan
 
Kauli mbovu ni mwanzo wa kufeli biashara.
Mteja gsni atatamani kuja kununua kwa watukanaji?
Mngeweza kukosoana kistaarabu.
Mmoja wenu ninamfahsmu ni mtata sana.
Kifo cha biashara huanza taratibu kama cancer, mwishowe wateja watakupatia jina baya hatimaye biashara kufa.
Jifunzeni mbinu bora za kibiashara...mtatoboa

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja mkuu shukrani sana.
Kwa msaada wako nakuaga confused kweli n watu kama hawa kwenye biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tujifunze kwa waliopiga hatua kibiashara mkuu.
1. Nchi zilizoendelea ukiingia dukani kwake na
Ukakejeli huduma yake hutaona aki react..
Wanaamini mteja ni mungu au mfalme je utamlaumu mfalme?
2. Watakujibu na kukuelewesha kwa upole, je hawana hasira? Laah! Wana hasira sana tu lakini wanatambua kuwa biashara ni vita lazima wapigani kwa akili na weledi..kivipi?
Kukuelimisha juu ya madai yako au kukushawishi hadi ukubaliane naye ili tu kujenga imani na kutengeneza jina.

Mkuu linda JINA

Asante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom