Nauza gari IST

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
GARI IMEUZWA.....
 

Attachments

  • 1481385428465.jpg
    1481385428465.jpg
    63.7 KB · Views: 107
  • 1481385435966.jpg
    1481385435966.jpg
    59.8 KB · Views: 88
  • 1481385499663.jpg
    1481385499663.jpg
    54.7 KB · Views: 106
  • 1481385543845.jpg
    1481385543845.jpg
    72.9 KB · Views: 89
  • 1481385551193.jpg
    1481385551193.jpg
    35.2 KB · Views: 79
  • 1481385557983.jpg
    1481385557983.jpg
    43.8 KB · Views: 87
  • 1481385568514.jpg
    1481385568514.jpg
    43.7 KB · Views: 82
Duu wa Tanzania wenzangu hebu ongezeni hela kwa anaehitaj....
 
Sikushauri uuze hiyo gari kwa muda huu utauza kwa bei ya hasara labda Kama una shida na huna namna.
 
hata afanyeje, hatapata zaidi ya tano, wote waliotaja bei ni porojo!
hawana kila kitu, mwwnye hela anafanya mawasiliano ya direct siyo hapa kwenye wall
Wanaotamka bei hadharani wengi wazushi kweli na si wanunuzi bali uchangamsha genge.
 
hata afanyeje, hatapata zaidi ya tano, wote waliotaja bei ni porojo!
hawana kila kitu, mwwnye hela anafanya mawasiliano ya direct siyo hapa kwenye wall
Kwasasa hali imekuwa mbaya sana. Kama una kitu unataka kuuza. Utauza kwa hasara tu labda tusubiri hali ikae sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom