Jovin Kwanini unataka kumfukuzisha mume wangu kazini?

Status
Not open for further replies.

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,833
Mume Wangu amekukosea nini?

Kila siku kumsakama wewe tu kwa mabosi.

Makochi na Gari ndio vinakufanya ukamsemee kuwa anashi maisha ya juu kuliko mshahara wake?

Kama hujui furniture za bei rahisi zinakopatikana sema upelekwe.

NYUMBA tunayoishi ni ya kupanga inakuwaje unatokwa na Roho?

Kwenda kukaa uswahilini hukulazimishwa uliamua mwenyewe. MUNGU anakuona na atakuhukumu kwa Hili.

FITNA zako hazitamuondoa Mume Wangu kazini hata siku MOJA.

KARMA ITAKUHUKUMU HAPA DUNIANI WEWE NA UZAO WAKO.

Mbinguni pia utaipata adhabu ikufaayo.
 
Duuhh!!! Aisee naona ume ventilate mkuu!!
Kuna binadamu wana fitna utadhani mioyo yao ina umbile la korosho. Hayo ndio malimwengu!!!
Wewe na mumeo msali/mswali sana, na mumuweke Jovin mikononi mwa Mwenyezi Mungu muweza wa yote, isiwe ni vita yenu.
Pia mzidi ku fight sana ili muendelee kupata mafanikio na wenye vijiba wapasuke.
Nazjaz
 
Inawezekana kabisa huyo Jovin akawa na sababu zake zingine kabisa kuliko hivyo unavyodhani kua ni Makochi na Gari, hiyo ya Makochi na Gari huenda ikawa ni njia tu ya kufikia hayo malengo yake But kuna sababu nyingine kabisaaa!!

Fanya uchunguzi na ujue ni nini sababu inayompelekea huyo Jovin kumfuata fuata mumeo?
 
Huyo jovin atakuwa shetani tu, maana kuna mashetani tunaishi nayo humu humu uraiani, makazini, Kwenye nyumba za ibada yapo na mengine tunapishana nayo, yeyote mwenye nia mbaya katika maisha ya mtu ni shetani+. Dada Muombe sana Mungu, awaepushie ilo shetani sijui ni la kike au la kiume
 
KARMA ina maana kubwa sana! Na ukishatamka huna haja kumlaani mbaya wako tena
 
Tayari kasimamishwa KAZI kwa ungunguzj.

Tumeambiwa eti tuna makochi ya Orc deco ya million 30. Prado LA mwaka 2001 eti wamelithaminisha kwa TZS. 100 m
Huyu Twisige ni pepo kabisa. anatusingizia ili apate nini?


poleni sana kwa hayo masahibu, Mimi naamini haki ya MTU huwa haipotei, nachoelewa kusimamishwa kazi ni kupisha uchunguzi ufanyike kwa hizo tuhuma ambazo hatuzijui hapa? then baada ya uchunguzi ndio utajua Nani mkweli kulingana na rekodi za huko nyuma
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom