Habari zenu wakuu.
Hatimaye nimejiunga rasmi JF baada ya kuwa anonymous kwa kipindi cha miaka miwili. Alienifanya nimejiunga ni rafiki yangu Mzigua90 baada kuona app ya JamiiForum kwenye simu...
Hivi like inakusaidia nini , mbona mnaleta story za facebook na youtube
Utakuta jitu zimaa lina mavu** mpaka kwenye ulimi anakomaa mikono kwa kuomba like tu , kweli vya zamani vinarudi maana...