Habari zenu mi mgeni humu, ninafuraha kujiunga nanyi wapendwa, kwa muda mrefu nilikuwa nasoma tu habari za humu, sasa ninafurahi kuwa pamoja ndani ya ulingo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu,
Mimi huwa napenda sana kufuatilia mijadala yenu na hoja zenu kupitia google na najilaumu ni kwanini muda wote huo sikuwa member wa JF.
Tupo pamoja na samahani kwa nilichoposti hapo...
Mimi bado newcomer hapa, japo nimeshacreate nyuzi tayari, mimi ni MWANAUME!, maana kuna mwamba kaja inbox eti "Heisenberg wewe wa kiume au wakike"
Asanteni sana.
Hi mm n mgen humu.......lakn kuna watu nliokuwa nkfuatlia thread zao kama....Mlevi mmoja,,Zero IQ,,Father of all sniper,,Mother confesser,,Goite,,Sir khan,,Kiduku Lilo na wengne wote naomba...
Hi everyone in,
My name is Junior, I am from Dar es salaam, specifically from Osterbay.
Kwa kweli nimefurahi sana kujumuika na my fellow Tanzanians ktk forum hii japo niweze kujua mambo...