Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Jaman nipokeen nale ngw'ana john, nzukuru magembe. Ngw'aa mwanza mle mhola.?
0 Reactions
5 Replies
957 Views
ni mara ya kwanza kwangu kuingia humu nipokeeni
0 Reactions
4 Replies
911 Views
Habar wadau wa jf mm n memba mpya naomba ushirikiano wenu,km nyinyi n wenyeji naomba mm mgen nikaribishwe kigeni zaid.
0 Reactions
5 Replies
730 Views
:frusty: NDO MARA YANGU YA KWANZA KUJIUNGA NA JF, HAKIKA NIMEFAIDIKA SANA, HASA JUKWAA LA SIASA, NAMI NAOMBA TUJADILI HILI SUALA, :HIVI ILE DUA INAYOSOMWA KILA SIKU BUNGENI KABLA BUNGE KUANZA...
0 Reactions
4 Replies
699 Views
jaman me pia ni mmoja wa wana Jf
0 Reactions
3 Replies
1K Views
:yo: Pa moja sana!
0 Reactions
4 Replies
611 Views
Nilikuwa nimepitwa sana!nasikia huko ndani ni kuzuri tena kuna furaha saaaana!
0 Reactions
4 Replies
814 Views
Nami nimekuja mnipokee as mtu wa kutak kushare ideas katk jukwaa hili mahir...mnipokee plz
0 Reactions
3 Replies
793 Views
Kuna wananchi weng sana waciojua katiba ii iliopo n vp inawasaidia,wananchi awa awa ndo wanaopata shida kubwa za maji,hospital,shule nk,me kwa upande wangu cdhan sana kama suluhisho ya yote aya n...
0 Reactions
3 Replies
939 Views
napenda kutoa shukurani kwa uongozi wa Jf kwa nipokea pia wasomaji na members .nina ahidi kutoa mchango wangu kwenu ninaomba ushirikiano wenu
0 Reactions
4 Replies
897 Views
Habari za majukumu wana jf? Kwa muda mrefu nimekua nikipata habari na hoja mbali mbali kutoka mtandao huu wa jf kupitia page yao niliyoi like fb kusema kweli kuna nondo za kushiba sana(habari...
0 Reactions
6 Replies
876 Views
Nadhani nilikuwa nimechelewa kuwa ktk hii familia ili kunufaika kwa mustakbali wa maisha ya hapa duniani. Nipokeeni ndugu yenu!
0 Reactions
4 Replies
821 Views
HI
amani iwe juu yenu watanzania na wasio watanzani. hodi ndani ya JF...
0 Reactions
7 Replies
872 Views
wewe ni nani?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello great thinkers, habari zenu wote! Ndo nimeingia hv jukwaani , baada ya kupitia topics mbalimbali nimebaini kuwa jf ni forum ya ukweli kbs, na hatimae nikajongea tartibu kabisa, your...
0 Reactions
6 Replies
971 Views
hodi jamani,ndio naingia mjini jamani,msisite kunipokea na kunielekeza hapa town(jf)
0 Reactions
7 Replies
899 Views
Hodi nabisha kwa wanajamii
0 Reactions
8 Replies
1K Views
waungwana wa humu naombeni niwe miongoni mwenu
0 Reactions
4 Replies
838 Views
ni mda mrefu yapata mwaka sasa nimekua nikipita jf kama mtembezi tu, sasa nami nimeamua kujiunga rasmi kwa ma great thinkers. nipokeeni ili tulijenge taifa pamoja. nawasilisha.
0 Reactions
4 Replies
733 Views
Hello waungwana,am new member n' am so happy 2b part of ths family.
0 Reactions
6 Replies
899 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…