Naomba kujitambulisha rasmi kwa wana JF. Nimefaidika na hazina kubwa walionao wana JF ya kufukiri na kuchambua mambo yenye msingi kwa Taifa letu. Naomba mnipokee rasmi.
Long live Jamii Forum...
Ni siku ya majonzi makubwa sana kwa wapenda Amani wote siyo kwa mkoa wa Arusha au Kwa Kanisa bali ni kwa watu wote, ni wakati wa kuunganika wote kulaani hili tukio la kijinga katika nchi yetu