Ndio kwaaanza najifungua toka ndani ya nailoni hata siti kava sijazitowa nailoni zake, naombeni mnipe kampani kwa nia njema ya kusongesha mbele Taifa letu! Basi semeni ,Karibu!
kama kichwa cha habari kijielezeavyo. naomba mnikaribishe kwa mikono miwili ndugu zangu katika hili jukwaa. Nimekuwa mfuatiliaji wa siku nyingi lakini sikuwai kujiunga hadi leo hii nikaamua kukata...