Ndio nimejiunga na JF, naombeni ushirikiano.Hoja zangu nyingi zitajikita kwenye kero za walimu dhidi ya ukandamizaji wa CCM na serikali yake.
HIKI CHAMA WALIOBAKI KUKITETEA KWA SASA niwale WENYE...
Enyi wapenda amani wenzangu, poleni sana kwa majukumu mengi ya kila siku. Tafadhali hebu fanya kila liwezekanalo kila mmoja kwa nafasi yako ilimradi kauli hizi za kibabe kati yetu na jirani zetu...
Habari zenu wana JF. Mimi ni sawa na mtoto mchanga kabisa katika JF, sijui chochote kile hivyo naomba ushirikiano wenu wa kunielekeza mambo mbalimbali nisiyoyafahamu kabisa pale nitakapokuwa...