Mimi ndiyo nimeingia jamiii fórum mtandao unaoongoza Tanzania
jamiii fórum ni magazeti
Jamiii fórum ni rádio
Jamiii fórum ni Tv
Jamiii fórum ni zaidi ya habari nimeipenda endelezeni maaadili...
Namshukuru mungu kwani nimefanikiwa kuwa jf member.Naombeni mnipokee great thinkers japo sina uhakika kama wote humu ni ma great thinkers.Mungu awabariki