ni ukweli usiopingika kuwa kansa zimekuwepo toka zamani hata kabla babu yangu hajazaliwa lakini kwa jinsi rekodi zinavyoonyesha kansa imekuwa ikongezeka sana miaka ya hivi karibuni. nimejaribu...
Ndio nimejiunga jamani naommba mnipokee niko huku kwesunga navutiwaga Sana na mambo ya jamii forum nishajifunnza vitu vingi Sana kupitia humu,ingawa nilikuwa natembelea kama mgeni.Naomba mnipokee.