Wakubwa shikamooni, walika langu mambo vipi na wadogo kwangu nimeipokea salamu yenu.
Wote naombeni munipokee jukwaani maana nina kiu kweli ya kujumuika nanyi.
ASANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI...
Mm N Mgeni Humu.Ila Nahitaji Kua Member Mtiifu Na Ni Dumu Milele Daima.Ila Nimepat Tetesi Eti Humu Ukizingua Unazinguliwa.Na Ukikubali Kuznguliwa Bac Ujue Umeumia.Na Jf Itakua Historia Kwk Km Y...