habari za leo wanajamii wenzangu nashukuru moods kunikutanisha nanyi kwenye jukwaa hili nawaomba tushilikiane ktk ujenzi wa nchi yetu nikiwa km mgeni ktk jukwaa hili naitaji ushilikiano wenu kwa...
Me mgeni humu Nina siku kama 3 hv. Nimeona kunanifaa kwani posti zimenikuna sana.
Nina age - 28
Jinsia - me
Naishi - dar
Kazi - architecture design
Mahusiano - [emoji777]