Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

On JF:

1 Vote
Mambo vipi mwanajukwaa? Hivi una mdogo au mtoto wa kike? Sasa huu ndio wakati wa kumuwaza huyo binti yako aisee, wamombo wanasema ‘Imagine’ yani unaweza hata kufumba macho na kumvutia picha binti...
1 Reactions
2 Replies
476 Views
Upvote 1
0 Votes
Kuna migogoro mingi duniani na inaweza kuwa vigumu kuiona kutoka nje. Jambo muhimu unaloweza kufanya ni kufikiria kile unachoweza kufanya ili kuifanya dunia kuwa mahali pazuri zaidi. Unaweza...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Upvote 0
0 Votes
CHANGAMOTO KWENYE MFUMO WA ELIMU NCHINI TANZANIA. Utangulizi Siku za nyuma nikiwa kidato cha kwanza, katika Shule ya Sekondari Uluguru, tuliwahi kuwekewa mada ya kujadili kwa hoja. Mada hiyo ni...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Upvote 0
1 Vote
Habari zenu Wana JAMII FORUMS, Hususa ni jukwaa la "STORIES OF CHANGE" Nimatumaini yangu kuwa nyote ni wazima na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Andiko hili litaangazia katika ngazi za...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
2 Votes
Habari wana JF Napenda kuwashirikisha wanajamii wenzangu juu ya uchumi wa nchi ya Tanzania kudhoofika na kuendelea kukua kwa kiwango kidogo sana kwa kila mwaka ni kutokana na kuwa na sera za...
1 Reactions
3 Replies
927 Views
Upvote 2
1 Vote
Kumekuwa na mjadala mzito mitandaoni baada ya Rais Samia kumrejesha madarakani aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila. Wengi wanaopinga uteuzi wake wanarejea tukio la tarehe 3...
0 Reactions
0 Replies
394 Views
Upvote 1
2 Votes
UTANGULIZI Salaam na Amani ziwe nanyi, Karibuni katika mnakasha huu utakaojikita katika mbinu za namna ya kuutengeneza na kukuza uzalendo, Imani yangu mnakasha huu utaleta fikra chanya za...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 2
9 Votes
Kuna wimbi kubwa ya biashara haramu ya ngono vijijini hivi sasa. Biashara hii ni mpya kabisa kutokea sio kama inayofanyika mjini. Wadada wanakuja vijijini ,hasa wakati wa mavuno ,wanaweka kambi...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Upvote 9
3 Votes
Kumezuka makundi ya watu wanaoshabikia mabadiriko ya mtaala wa elimu Tanzania wakidai kuwa mtaala huu ni mbovu kwani hauendi na wakati na haumwezeshi mwanafunzi kutatua changamoto halisi za maisha...
2 Reactions
0 Replies
992 Views
Upvote 3
0 Votes
Habari watanzania na wadau wote kwa ujumla. Katika chapisho hili nalenga kukutazamisha angalau kwa sehemu kuhusu msamaha, ninauhakika utakapomaliza kulisoma kwa utulivu utabadili au kuboresha...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Upvote 0
0 Votes
Watu werevu na waliofanikiwa zaidi ninaowajua wanatafuta jumuiya kwa bidii. Wanaajiri makocha, wanajiunga na vikundi vya mitandao rika, huchukua likizo na marafiki na wafanyakazi wenzao, na...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Upvote 0
0 Votes
"Ni kweli mnanipinga, lakini naomba ujue na kutambua sababu ya kwa nini unanipinga" Fanya mazoezi, kuwa na kiasi, kunywa maji safi na salama, Vuta hewa safi, ota mwanga wa jua, ndio jina langu...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Upvote 0
0 Votes
The idea of gender balance is a healthy equilibrium between the different demands, responsibilities, activities, and needs of our lives in order to remain balanced and centred. It is a topic that...
0 Reactions
0 Replies
506 Views
Upvote 0
0 Votes
Wazo la usawa wa kijinsia ni usawa mzuri kati ya mahitaji tofauti, majukumu, shughuli, na mahitaji ya maisha yetu ili kubaki na usawa na msingi. Ni mada ambayo mara nyingi hujadiliwa lakini...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Upvote 0
13 Votes
Wilaya ya Kiteto ipo Kusini mwa mkoa wa Manyara. Kiteto ina kilomita za mraba 16,685 na jumla ya wakazi 244,669 kwa mujibu wa Senasa ya mwaka 2012. Upande wa Mashariki Kiteto imepakana na...
10 Reactions
13 Replies
6K Views
Upvote 13
2 Votes
Habari za muda huu mpendwa, nipende kuchukua nafasi hii kukushukuru kwa kutumia muda wako na kuisoma makala hii "NITUNZE NITHAMINI ILI NIISHI", ni  makala iliobeba sauti ya mtu (watu) wanaoishi...
2 Reactions
2 Replies
869 Views
Upvote 2
6 Votes
“Kama utaendelea kuishi, acha urithi, weka alama duniani ambayo haitafutika” -Maya Angelou. Ellen Johnson Sirleaf, Maya Angelou, Mellody Hobson pamoja na Mo Abudu ni kati ya majina maarufu sana...
5 Reactions
3 Replies
790 Views
Upvote 6
1 Vote
Leo nipo ndani ya jukwaa letu, jamii forums nataka kuchangia mawazo naamini mamlaka yetu hasa serikali na wadau wote inaweza kutibu kabisa baadhi ya changamoto kubwa hasa katika mfumo mzima wa...
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Upvote 1
0 Votes
Muziki, Uchumi na Maisha Mwandishi: Dr Yassayah – (Daktari wa binadamu, mtunzi na mwimbaji wa muziki tangu 2007) Muziki ni jambo zuri katika jamii. Muziki umeumba jamii zetu na tamaduni zetu...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Upvote 0
0 Votes
MACHO ni sehemu ya mwili inayotuwezesha kuziona taswira zetu zilizondani kwa nje, kile kinachoonekana ni taswira ya kitu namna tunavyokitafsiri katika akili zetu. Tunaona tulivyo sio kama vitu...
0 Reactions
0 Replies
355 Views
Upvote 0
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…