Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

  • Redirect
Utumishi wanatumia mda gani kuita watu kazini baada ya usaili wa oral?
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hapa kazi tu!!!!! Serikali imetuambia tuache kutegemea vya kupewa tuchape kazi! Nyie nani aliwaambia mkijipendekeza kujitolea mtapewa ajira? Eti mnalalamika Abadallah kuajiriwa mara 196 acheni...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nilikua NaomBa kwa anaejua vizuri kuhus ajira portal Mana kwangu Ina asilimia 90 Ila nikitaka kuomba kazi inaandika failed sijui shida Ni nn hasa Mana na kwenye declaration inagoma kueka katiki kale
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mfano mtu wa TPA anaelipwa PGSS 7..anafanana kiwango Cha mshahara na mtu wa TAFIRI anaelipwa PGSS 7...au wanatofautiana?!
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mshahara wa askari Magereza ni kiasi gani kwa anaefahamu...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Imefikia takribani miezi miwili tangu tarehe ya mwisho kufanya maombi ya kazi za Wizara ya Afya. Kitaa kigumu, ninasubiri ahueni kama ikitokea kupata hizi kazi. Wizara fanyeni mambo.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
wakuu naomba kujua pale TRA wakiandika SALARY SCALE: TRAS 3 hii mshahara wake ni kiasi gani
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
“Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. @SuluhuSamia ameridhia kibali cha kuajiri watumishi 21,200 wa Kada za Ualimu na Afya. “Idadi ya Watumishi watakaoajiriwa ktk Kada za Ualimu ni...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
JOB TITLE: DRIVER II - 1 POST JOB CATEGORY(S): HR & ADMINISTRATION EMPLOYER: Open University of Tanzania - OUT APPLICATION DEADLINE: February 24, 2020
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mambo vp viongozi Natafuta kazi wapendwa nina elimu katika ngazi ya Diploma in Information Technology . Nina Experience katika Network troubleshooting LAN configuration Computer maintenance...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Awali ya yote nianze kwa kutoa pole zangu kwetu watanzania wenzangu kwa kuondokewa na aliyekuwa Rais wetu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Joseph Magufuli. Hiyo ndiyo njia yetu...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari, Kwa majina naitwa Mr. Makemba Mimi n mtalaam Wa Ufugaji samaki nina uzoefu Wa kutosha Juu ya Ufugaji samaki, masoko na processing, nimemiza shahada ya sayansi ya maji na uvuvi(bsc in...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa wanaokuja Dodoma kwa interview weekend na wanaitaji kubook hotel au lodge tuwasiliane Pia kwa watakaotaka usafiri toka siku yakufika adi eneo la interview tupo tayari kupokea booking.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Natafuta gari la biashara ya taxmtandaoni(uber,bolt,paisha) Mim kijana wa kitanzania ninae tafuta ajira ili kujikimu kwenye haya maisha,natafuta gari la biashara kwa ajili ya tax mtandaoni na...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakuu nmeitwa magereza usaili ngazi ya wilaya na niliomba kama form 4 na nina degree, vp kwwnye suala la vyeo uko jeshi la magereza na je kuna usaili mwingine zaidi ya hapa wilayani?
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
SEND YOUR APPLICATION TO: application@uti.ac.tz
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari za Mahangaiko Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam. Elimu ya Form Six Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi....nipo tayari...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari wadau humu. Mimi ni dereva mwenye leseni daraja C naleta maombi kwenu kwa yoyote mwenye gari au anajuwa mtu mwenye gari haice au Rosa na anataka dereva basi naomba aniunganishe. Mimi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Huu ni zaidi ya usanii kama si uhuni. Yaani watoto wa maskini wanasafiri kutoka Mpitimbi Songea Vijijinia au Mkwenangi Katavi kuja Dodoma kufanya Usaili na kuambilia patupu kumbe kuna watoto wa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari wandugu samahani Kuna suala Lina nitatiza kidogo naomba anayejua mwongozo kidogo anisaidie. Nimemaliza mwaka jana chuo ngazi ya degree ya ualimu Sasa wote tunajua changamoto ya kazi za...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom