Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

We kama umetumia kigezo cha hela kumpata mwanamke wewe hujapendwa, umekubaliwa tu, kukubaliea si kupendwa. Kuna sisi, wazee wa love on the first sight , yani mdada anakuona tu, anachanganyikiwa...
12 Reactions
54 Replies
2K Views
Hili jambo nmekuwa nikilichunguza Kwa mda sana Hadi nimefikia hitimisho ukweli kabisa watu wawili hawano jielewa na kujitambua they can't fall in love Mapenzi HUITAJI mjinga mmoja na mwenye...
12 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Kuna ndugu yangu anatafta mwanamke wa kuoa lakini shart lake awe na garden love za kutosha. Nawasilisha.
1 Reactions
12 Replies
757 Views
Ni ukweli mchungu ambao kila mwanandoa hatopenda kuusikia. Tunawaruhusu wake zetu wasafiri au waishi mbali lakini nilivyofuatlia hali ni mbaya sana humo njiani wana pigwa sana. Kama ilivyo kwa...
30 Reactions
185 Replies
10K Views
Wanaosema kuolewa ni bahati huwa wanajifariji tu! Ukweli ni kwamba kuwa mke wa mtu ni vigezo na sifa maalum ambavyo siyo kila mwanamke anavyo! Kutokuwa malaya haina maana unasifa moja kwa moja...
14 Reactions
58 Replies
2K Views
Mimi siyo mdau sana wa kuanzisha nyuzi kuhusu member humu ndani lakini leo nimejikuta tu ninyooshe mkono wangu kumtakia heri member financial services. Leo nilikuwa napita humu nikakutana na uzi...
14 Reactions
71 Replies
3K Views
Habari.. Mpenzi niliye nae nampenda sana, ni mama kijacho Kwa sasa. Tangu nimeanza kuwa karibu nae zaidi nagundua ana vijitabia ambavyo sio vizuri Kwa upande wangu. Anaonekana ni mbinafsi sana...
10 Reactions
59 Replies
3K Views
Hii ndo kauli ntamwambia mwanangu. Ntahakikisha naharibu na kusambaratisha hisia za kuzingatia dem au boy kutokana na jinsia yake. Ntamwambia asije kumpa mtu moyo wake hata siku moja. Ntamwambia...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Ndugu yangu leo nimeamua kukuletea mbinu nne za kumpata mwanamke yeyote unayempenda bila hata kumtamkia kama unampenda. twenzetu!! 1. Mpe hela 2. Mpe tena hela 3. Endelea kumpa hela 4. Endekeza...
4 Reactions
2 Replies
585 Views
Wakuuu hivi binti ananionaje? Kwamba ameniona mie zuzu? Au yaani aisee kila siku matusi na vipigo kutoka kwa mke wangu bila sababu yoyote ile na pia maneno ya kashfa kila siku eti kwamba mimi ni...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula. Kama...
22 Reactions
223 Replies
8K Views
Nawasanua wana musije kusema sijawaambia. Nimewahi kuwa na uhusiano na mke wa mtu, najua ninachokiongea hapa.
13 Reactions
100 Replies
6K Views
1st Portion: Nimepitia nyumba kadhaa za kupanga, visa na Mikasa ni mingi, ila kuna hii moja sitoweza kuisahau kirahisi. Hii nyumba ipo (ilikuwa) maeneo Fulani, jijini Dar Es Salaam. Baada ya...
72 Reactions
660 Replies
206K Views
Wasalaam Kuna jambo linamiumiza kichwa nimeshindwa hata kulala usiku huu nikaona niwashirikishe humu Historia ya Charles David Mtoto huyu ambae nimepata kufahamiana na mama yake kwa zaidi ya...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
10 Mke mwema kweli, apatikana wapi? Huyo ana thamani kuliko johari! 11 Mumewe humwamini kwa moyo, kwake atapata faida daima. 12 Kamwe hamtendei mumewe mabaya, bali humtendea mema maisha yake...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanaume wanalalamika wake zao wanachepuka,wanawake nao wanalalamika wanaume wanachepuka,kama hiyo haitoshi wake wanataka kuliwa kwa mpalange na wanaume wanataka kula kwa mpalange,hivi mkichepuka...
1 Reactions
0 Replies
244 Views
Napitia kipindi kigumu sana kwenye mahusiano aisee mimi ni kijana 25+nimekuwa nikitamani sana kuwa kwenye mahusiano ofcourse nilikuwa nipo na mahusiano na mdada mmoja but atukudumu sana sababu ni...
24 Reactions
80 Replies
4K Views
Nimeona nije kuwaomba ushauri hapa maana wakati flani unaona ni bora upate mawazo mtambuka toka kwa wadau wengine. Na hii inatokana na kuwa watu wana fikra mchanyato na ni wazi kuwa kweli ya leo...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Mama zetu ambao wamekuwa single mothers ukitaka akupe laana basi wewe oa single mother Hawataki kabisa usogelee single mother katika MAISHA yako
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa nini wanawake wanapenda kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na wanaume wenye hela? Ni muhimu kutambua kwamba si kila mwanamke anapenda kuanzisha mahusiano na wanaume wenye hela, na kila mwanamke...
6 Reactions
66 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…