Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hili sasa ni janga la kitaifa hapa nchini Kuna jamaa yetu mmoja ambaye ni jirani yetu kabisa mimi namuona kama ndugu tu Ana mazoea akija akikuta simu yangu anacheki music na video sasa jana...
8 Reactions
82 Replies
18K Views
Mtu ambaye hafanyi kazi yoyote,hafanyi usafi, lakini anapata mahitaji yake yote bure lazima ataanza kulala sana,kukesha kwenye tv,kuanza kunywa pombe,kucheza kamari,kutumia dawa za kulevya,kufanya...
3 Reactions
5 Replies
686 Views
guest-1788672427
Nimewahi kuugua mara nyingi lakini homa iliyonipata usiku wa jana sijawah kuumwa toka nizaliwe Usiku wa jana ulikua mkubwa kwangu,ulikua mrefu,niliona masaa yamesimama Niliteseka sana,nililia...
12 Reactions
82 Replies
3K Views
Katika karne hii ambayo wanawake wengi wamepigwa matukio ya kuachwa mpweke ghafla, fumanizi za mara kwa mara, kusalitiwa, kuibiwa, kudhulumiwa, kutapeliwa,kupokonywa mali, kudhalilishwa,kupigwa...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Hii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivyoachwa na mpenz wangu wa kwanzaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri, alikuwa...
42 Reactions
410 Replies
25K Views
Mwaka 2015 kwenye harakati za kutafuta kazi, nikaingia ofisi moja hapa Jijini Dar es Salaam. Nilipewa connection na rafiki yangu kuwa niende kuonana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo. Mwamba...
5 Reactions
76 Replies
4K Views
Due to trend za thread this past week, this came in my mind. Je kwa walio experience hebu watueleze how was it? On my side hii siku siwezi isahau kamwe. And as much as I wish to forget ila...
13 Reactions
189 Replies
21K Views
Kufumaniwa na mke wa mtu ni jambo linaloweza kuleta madhara makubwa kijamii na kisheria. Katika jamii nyingi, kitendo hiki kinaweza kusababisha aibu, hasira, na hata ghasia. Kwa mfano, kuna visa...
11 Reactions
103 Replies
7K Views
Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam. Yani mwanaume amebarikiwa jamani, ngozi nyeusi...
46 Reactions
663 Replies
109K Views
Pale unakuwa naye kitandani halafu anasema 'naumia' ukisema tupumzike anasema 'hapana'. Ukiendelea anasema 'naumia'. Mkimaliza anasema sijawahi kuumia kama nilivyoumia leo. Yawning sijawahi...
15 Reactions
95 Replies
4K Views
Siongelei ule uchumba Sugu wa kila mtu kukaa kwake, naongelea uchumba sugu wa kugandana nyumba moja kwa hata miaka 5; yaani huyo mwanamke ataigiza kila script aliyotumia kwa wanaume kabla yako na...
3 Reactions
0 Replies
393 Views
Habari zenu wakuu wa MMU πŸ‘‹πŸ½ πŸ‘‹πŸ½ Kila mmoja wetu ana njia zake za kubaini jambo LILILOFANYIKA au LITAKALOFANYIKA kwa njia yake ya udadisi tu wa kibinadamu. Udadisi huo huja pale ambapo MMOJA wetu...
5 Reactions
14 Replies
787 Views
Tusaidiane Kuwainua Single Mothers! πŸ’ͺ🌟 Katika jamii zetu, kuna wimbi kubwa limeongezeka la single mothers kukumbana na changamoto nyingi mbalimbali katika jamii, changamoto hizo ni kama vile...
3 Reactions
58 Replies
2K Views
Habari... Nyie Wanaume ambao hamjaoa uwe umepanga au unaishi kwenu hasa wenye umri kuanzia 30-47 tabia ya kuwatembele marafiki zenu waliooa bila taarifa huku mmevaa pajama mnamuonesha shemeji...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa...
22 Reactions
276 Replies
12K Views
Poleni sana, ni muhimu kujifunza kujali afya kwanza kabala ya starehe. Tazama sasa maumivu unayopitia, gharama na muda unaotumia kujitibu kwasababu tu ya starehe ya muda mfupi. Jifunze kutumia...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Gentleman, humble, honest, God fearing man, who has determination of great success in life hereby looking for a serious single woman who is looking for a man to engage in and establish serious...
8 Reactions
90 Replies
5K Views
Wakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia (akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni...
11 Reactions
129 Replies
4K Views
Huyo sio waifu ni mdau tu wa maendeleo. Wakuu chochote mtachosema mimi nitakuwa mtekelezaji mwaminifu. Mimi naliamini sana hili jukwaa halijawahi kuniangusha hata siku moja. Mnasemaje wakuu...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Tarehe kama ya Leo , Miaka 3 nyuma nilifanikiwa kumpata mwanangu wa kwanza (baby boy) lakini kwa kadari zake mungu hakuweza kuishi zaidi ya siku 1 pekee. Hakuna siku ambayo siyaacha kutamani...
6 Reactions
71 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…